Tanzania yenye Neema !!!!Maisha bora kwa kila mtanzania! Hao watoto wamekaa kwenye jiko la mkaa wanabugia moshi mnene kama hawana akili nzuri.
Does that looks like jiko la mkaa to you?Maisha bora kwa kila mtanzania! Hao watoto wamekaa kwenye jiko la mkaa wanabugia moshi mnene kama hawana akili nzuri.
Na sehemu zote zinazoitwa Uzunguni!!Tanzania yenye neema iko Oysterbay, masaki na Mikocheni
Does that looks like jiko la mkaa to you?