Ha ha haaaaaaaNi mwanamke jasiri mwenye kusimamia kauli zake tata na za kichovu..wanawake wanaweza lakini huyu Mmh!
Duh! hiyo ya takrima ndy issue...Mbona wengi tu wanaingia huko bungeni bila kutoa jasho, kuna wale sijui wa kuteuliwa, kuna viti maalumu na kuna hawa wanaingia kiulaini kwa kutoa takrima badala ya jasho
Ni mwanamke jasiri mwenye kusimamia kauli zake tata na za kichovu..wanawake wanaweza lakini huyu Mmh!
Ni mwanamke jasiri mwenye kusimamia kauli zake tata na za kichovu..wanawake wanaweza lakini huyu Mmh!
ZZZZzzzzzzzzzz???huyu mama ni kati ya viongozi ambao nni hazina kubwa sana ndani ya CCM, anafaa kuendelea na ubunge hata kama ni kupitia viti maalum na ninaamini ataendelea kuwa mbunge baada ya uchaguzi ujao
Kama sisiem wana hazina kubwa ya viongozi kama huyu mama basi chama kimepotea!huyu mama ni kati ya viongozi ambao nni hazina kubwa sana ndani ya CCM, anafaa kuendelea na ubunge hata kama ni kupitia viti maalum na ninaamini ataendelea kuwa mbunge baada ya uchaguzi ujao
Mbona wengi tu wanaingia huko bungeni bila kutoa jasho, kuna wale sijui wa kuteuliwa, kuna viti maalumu na kuna hawa wanaingia kiulaini kwa kutoa takrima badala ya jasho