bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 1,258 Reaction score 3,061 Sep 4, 2026 #1 Anitengenezee Kitu kama hichi kiwe Cha silver anipe na gharama yake kwa Sasa kinahitajika kimoja haraka Lakini baadae vitahitajika vingi.
Anitengenezee Kitu kama hichi kiwe Cha silver anipe na gharama yake kwa Sasa kinahitajika kimoja haraka Lakini baadae vitahitajika vingi.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,600 Reaction score 9,563 Sep 4, 2026 #2 wanakuja
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,869 Reaction score 24,406 Sep 4, 2026 #3 Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf
bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 1,258 Reaction score 3,061 Sep 4, 2026 Thread starter #4 Medecin said: Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf Click to expand... Nahitaji cheni iwe na hicho Kitu utatumia madini gani kwa bei hiyo?
Medecin said: Kimoja ntakutengenezea kwa milioni 3 na nusu kwa heshima ya jf Click to expand... Nahitaji cheni iwe na hicho Kitu utatumia madini gani kwa bei hiyo?