Unaweza ukabalehe ndani ya ndoa.Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?
.........asingefanya mapenzi kabla asingegundua hilo tatizo la mpenzi wake. Ingawa ni kosa lakini imemsaidia, by the way anahitaji ushauri wa kiroho!kwa nini wanafanya mapenzi kabla ya ndoa? wazinzi wakubwa hao
kwa nini wanafanya mapenzi kabla ya ndoa? wazinzi wakubwa hao
kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa ila kutokana na jamii yetu ya sasa asilimia kubwa wanaingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshafanya ngono na watu tofauti tofauti hata hivyo kwa hii kesi kufanya ngono kumesaidia kugundua tatizo la sivyo angekutana nalo wakati ameshakula kiapo bora sasa anaweza kula konaNo........................! Kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa walilolifanya, na watakalolifanya wengi. Labda nikuulize; Je, wewe umeolewa/umeoa? Kama bado, hapo ulipo una status zipi? Na kama ndiyo, una uhakika gani kuwa mwenzio kaanzia kwako? Duniani waliooana na "first lovers" ni wachache mno...! Hata hivyo siamini kama kuna mtu ataishia kutembea na mtu mmoja tu katika maisha yake....! Utanisamehe kama umekwazika.
jamaa nadhani anataka kukimbia ndio maana anawasimulia marafiki zake ili apate ushauri sasa kama akivunja ndoa kipindi hiki ambacho ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa sijui atawapa sababu gani ndg, jamaa na marafiki maana ni jambo la aibuAkimbie haraka sana huyo dada keshazoea kuliwa TUZU(tigo) na waliwao tigo mbele hawapati utamu so wanataka wakunwe nyuma. jamaa asipoangalia ataishia kuzibua mitaro tu, na asipozibua wajanja watazibua, njia nyepesi ni kulala mbele tuu
kwa nini wanafanya mapenzi kabla ya ndoa? wazinzi wakubwa hao
Kuna jamaa amenipa story kuwa kuna jamaa yake mmoja wanafanya nae kazi ktk taasisi fulani ya fedha ana demu wake ambaye ameshamtolea mahari na wako katika mipango ya awali ya ndoa
Huyu jamaa yuko njia panda kwani huyu mchumba ake (mdada) anapenda mapenzi kinyume na maumbile na ameanza kuonyesha hizo dalili za kutaka kuliwa tigo muda mrefu ingawa jamaa alikuwa hamwelewi anataka nn ila sasa ameonyesha kuhitaji baada ya jamaa kutoa mahari na kumwakikishia ndoa
Anadai zamani wakati wako katikati ya majambo yule dada katika yale makelele ya mahaba alikuwa anasema nifi... nifi... ila jamaa akawa anapotezea na kuna wakati jamaa akiwa anakula mbele yule dada anajitia kidole mlango wa pili
Sasa hapo majuzi yule dada amezidisha sana na wakiwa katikati ya majambo kama kitu kikichimoka kwa bahati mbaya yule dada anakishika na kukielekeza tigoni na huku akimlilia jamaa ampigie kwa mtandao huo.
Jamaa yuko njia panda kwani yeye hapendi kufanya kitu hicho na ni mtu wa dini kidogo na pia yule mdada anategemea kumuoa na anaofia kama ule ni mchezo wake anaoupenda na yeye hawezi kuutimiza atatoka nje na anajiuliza kama kuna watu wanamfanyia hicho kitu mkewe mtarajiwa. Jamaa amechanganyikiwa na anataka kusitisha ndoa
Je wadau mna lakusema hapo kushauri kama ikikutokea situation kama hii
Laiti huyo jamaa angekuwa ni mtu wa dini asingefanya mapenzi kabla ya ndoa.Kuna jamaa amenipa story kuwa kuna jamaa yake mmoja wanafanya nae kazi ktk taasisi fulani ya fedha ana demu wake ambaye ameshamtolea mahari na wako katika mipango ya awali ya ndoa