Ni point nzuri sana umeiweka hapa Tumain, kwa kuongezea, hakuna watu waliofanya maovu katika historia ya dunia kama wafuasi wa hizi dini mbili yaani ukristu au uisilamu, lakini sanasana wakristu wamefanya maovu makali sana probably kuliko waisilamu.
Je unajua kuwa ni papa wa Roma aliyekuwa kiongozi wa kwanza kuidhinisha utumwa wa waafrika?
Hakuna dini za amani kama dini zetu za jadi, ndio maana wakati mwingine nasema labda waafrka tulikurupia hizi dini( oh by the way I forgot we were forced! become a christian or be killed by the germans, convert to Islam or be take to slavery!)
If you examine these so called religions of peace you find nothing but chaos and genocide of the highest order.When the white man adopted christianity , we all know the result.
Nashangaa na kusikitishwa, Baada ya kutafiti historia ya vita na uvamizi kupta kutokea duniani kwa zaidi ya miaka 1,700 iliyopita nimegundua kwamba vita vyote vimeanzishwa na mataifa yanayojiita mataifa ya kikiristo. duniani.
The most deadly were the so called
1. Hundred years War,
2. The Thirty Five Years War,
3. WW1 and WW2
All fought in Europe and wiping out tens of millions of people. Add to those the US invasion of Vietnam and resulting 3,000,000 Vietnamese deaths and now the current invasions of Afghanistan and Iraq.
In fact I cannot find a time when the same nations were not at war somewhere. Why do you think it is that these so called Christian people are so violent? I am curious.
Mataifa yote waliyoanzisha vita vikubwa duniani kupata kutokea kwa mujibu ya historia...ni yale yenye wakristo wengi..ndiyo maana nikisema inasikitisha jamii hii ya kikristo is so violent species on earth na wanaendelea ku-prove kwa kufanya yafuatayo:Waislamu huwa mnachekesha sana siku zote. Hivi ukiondoa Vatican ambayo ni typical Catholic state kuna taifa linaloitwa taifa la Kikristo duniani? Hivi tangu lini Marekani, Urusi, Ujerumani, Uingereza and the co. yakaitwa mataifa ya Kikristo duniani? Nani aliyekudanganya wewe Tumaini? Hujuwi kuwa mataifa haya yamesheheni wapagani na waabuudu dini za shetani?
Tukiliacha hilo, hivi kuna dini inayochochea ghasia dunia kama dini ya uislamu? Na matokeo yake tunayaona duniani kote leo hii. Dunia sasa si salama na watu wanahofia usalama wao kila mahali kwa sababu ya dini inayoitwa uislamu. Bila uislamu dunia ingekuwa mahali salama kabisa pa kuishi. Lakini leo hakuna amani kisa, kuwepo kwa dini inayoitwa uislamu.
Mataifa yote waliyoanzisha vita vikubwa duniani kupata kutokea kwa mujibu ya historia...ni yale yenye wakristo wengi..ndiyo maana nikisema inasikitisha jamii hii ya kikristo is so violent species on earth na wanaendelea ku-prove kwa kufanya yafuatayo:
colonization, invansion of other countries, etc...nchi zenye waislamu wengi waliovamia nchi nyingine tuambie ni zipi? na mara ngapi?
Sema yana Wakristo wengi lakini si mataifa ya Kikristo. Na si kweli kuwa jamii ya Kikristo ni violent ukilinganisha na jamii ya kiislamu. Kumbuka mataifa hayo yanaongozwa na serikali isiyokuwa na dini na mara nyingi inashikiliwa na wapagani au waabudu mashetani kama FreeMasons etc. Kuhusu suala la mataifa ya kiislamu kutovamia mataifa mengine hili ni suala la kumshukuru MUNGU kuwa mataifa ya kiislamu hayana ubavu huo vinginevyo pasingekalika hapa duniani maana maagizo ya quran yenu yanatisha. Pia usisahau kuwa Waarabu ambao ni waislamu walileta biashara mbaya kabisa ya utumwa na ukoloni huku kwetu Afrika ikiwemo Tanzania.
Kuna tofauti kubwa kati ya vikundi vya kupigania uhuru (resistance groups) na mataifa yenye kuvamia, kuua watu na watoto huku yakijiadai wao ni wakristo...mifano ni merakani kuvamia afghanistan, iraq, uvamizi wa somalia, ww1, ww2, panama, ukoloni na utumwa uliofanywa na wakristo (whites) kwa miaka zaidi 500...ubaguzi wa south Africa (kwa kutumia biblia just ku-mention the fewMataifa ya kiarabu yaliyowahi kuvamia mataifa mengine: Iraq iliivamia Iran, Iraq iliivamia Kuwait ambayo ilikombolewa na Marekani na washirika wake, Mataifa ya Kiarabu kuivamia Israeli mwaka 1948, 1967 na mwaka 1973, mataifa ya kiarabu kufanya biashara mbaya ya watumwa dhidi ya mataifa mengine, marehemu Muhammad kupigana vita vya kikatili vya Jihad dhidi ya wayahudi na wakristo, magaidi ya kiarabu/kiislamu yanayo-operate dunia nzima yakiwa kwa mfumo wa Islamic militants-Al Shabaab, Hezbollah, Islamic Jihad, Tamil Tigers, Boko Haram, Al Qaeda, Hamas, Al Aqsa Martyrs Brigade, Janjaweed, etc, just to mention but few!
You can be better than this crap,kutaukana hakukusaidie wewe jitahidi kuvumilia maana ukweli unauma sanaUkisoma madrasa kichwa kinajaa upepo, maji au namna gani? Vita vya kisiasa km WWI & WWII vinaitwa vya kidini! After all ni wakati gani ambao Yesu Kristo aliagiza watu waue wenzao? Kama hakuagiza, ni maagizo ya nani? Kwa upande wa Jangili Muhammad mambo ni tofauti, aliagiza mataahira wenzake kuchinja watu bila sababu yoyote! Yeye pia alichinja watu kuliko maelezo!
Kuna tofauti kubwa kati ya vikundi vya kupigania uhuru (resistance groups) na mataifa yenye kuvamia, kuua watu na watoto huku yakijiadai wao ni wakristo...mifano ni merakani kuvamia afghanistan, iraq, uvamizi wa somalia, ww1, ww2, panama, ukoloni na utumwa uliofanywa na wakristo (whites) kwa miaka zaidi 500...ubaguzi wa south Africa (kwa kutumia biblia just ku-mention the few
Sasa kuhusu issues ulizo-raise
1. Israel ni made in europe (1945) baada ya kuhamisha, kuvamia na kuua watoto na kina mama waliokuwa na makazi yao..kisa eti wanafuata biblical history..again wametumia biblia kuhalalisha mauaji..
2. Waarabu walichofanya ni kudai uhuru, na kuna kupigana ni njia mojawapo ya kudai haki yako..mataifa yenye wakristo wengi (vilent people) wakamsaidia muuaji na mvamizi muisrael kama kawaida wapenda vita
3. kuhusu hizbellah is resistance army against wavamizi israel from lebano ni kazi halali kukataa kutawaliwa..(alqaeda is made in america, (jaribu kusoma vizuri (al-shabab ni baada ya wamerakani kukataa islamic court kutawala nchi yao..resistance group...na mengine yote uliyotaja ni resistance groups kwa sababu moja au nyingine...
Inabaki kwenye record na history kwamba mataifa yenye wakristo wengi ni wabaguzi, wanyonyaji, wavamizi, na wengi wao ndio wametengeneza ma-dicteta wabaya kutokea katika historia ya dunia (kumbuka berlin conference kugawa africa lol.
Nashangaa na kusikitishwa, Baada ya kutafiti historia ya vita na uvamizi kupta kutokea duniani kwa zaidi ya miaka 1,700 iliyopita nimegundua kwamba vita vyote vimeanzishwa na mataifa yanayojiita mataifa ya kikiristo. duniani.
The most deadly were the so called
1. Hundred years War,
2. The Thirty Five Years War,
3. WW1 and WW2
All fought in Europe and wiping out tens of millions of people. Add to those the US invasion of Vietnam and resulting 3,000,000 Vietnamese deaths and now the current invasions of Afghanistan and Iraq.
In fact I cannot find a time when the same nations were not at war somewhere. Why do you think it is that these so called Christian people are so violent? I am curious.
Kuna tofauti kubwa kati ya vikundi vya kupigania uhuru (resistance groups) na mataifa yenye kuvamia, kuua watu na watoto huku yakijiadai wao ni wakristo...mifano ni merakani kuvamia afghanistan, iraq, uvamizi wa somalia, ww1, ww2, panama, ukoloni na utumwa uliofanywa na wakristo (whites) kwa miaka zaidi 500...ubaguzi wa south Africa (kwa kutumia biblia just ku-mention the few
Sasa kuhusu issues ulizo-raise
1. Israel ni made in europe (1945) baada ya kuhamisha, kuvamia na kuua watoto na kina mama waliokuwa na makazi yao..kisa eti wanafuata biblical history..again wametumia biblia kuhalalisha mauaji..
2. Waarabu walichofanya ni kudai uhuru, na kuna kupigana ni njia mojawapo ya kudai haki yako..mataifa yenye wakristo wengi (vilent people) wakamsaidia muuaji na mvamizi muisrael kama kawaida wapenda vita
3. kuhusu hizbellah is resistance army against wavamizi israel from lebano ni kazi halali kukataa kutawaliwa..(alqaeda is made in america, (jaribu kusoma vizuri (al-shabab ni baada ya wamerakani kukataa islamic court kutawala nchi yao..resistance group...na mengine yote uliyotaja ni resistance groups kwa sababu moja au nyingine...
Inabaki kwenye record na history kwamba mataifa yenye wakristo wengi ni wabaguzi, wanyonyaji, wavamizi, na wengi wao ndio wametengeneza ma-dicteta wabaya kutokea katika historia ya dunia (kumbuka berlin conference kugawa africa lol.
na wewe ni most violent person in this thread, kwasbau hutaki kuchangia unapenda kutukana waislamu pole..Kweli madrasa mbaya. Huu upupu uliondika hapa unatokana na kuharika kwako sababu ya elimu mbaya kabisa itolewayo kwenye madrasa. Pole!
You can be better than this crap,kutaukana hakukusaidie wewe jitahidi kuvumilia maana ukweli unauma sana
mataifa wenye wakristo wengi ndio yaliyofanya mauaji mengi kupita mataifa mengine..achana na yesu, muhammad kwa sasa. Yesu na Muhammad tutakutana nao siku ya kiama na Allah ataamua tumain na buchanan nani alikuwa mkweli...
tuangalie historia ya miaka 1700 iliyopita na vita vikubwa kupigwa duniani na kuua watu wengi sana na watoto vilianzishwa na nani na ni mataifa yenye watu wanajiita dini gani ..ukristo.
Give us some tangible and impeccable exhibits to support your vendetta and/or fisticuffs fracas.
Labda tunatofautiana hapa kidogo Tumain, Sidhani kama unaweza kusema kwamba mwisilamu ni peaceful zaidi.Mimi naona wote waisilamu na wakristu (yaani judeochristian religions) ni violent people usisingizie wakristu tu.
Islam is apparently peaceful now because it has no power.The arabs are messed up big time, but given the chance or power muslims are probably the most violent people in the world.Islam was spread by the Sword(by Muhammed himself) and is still maintained by the sword(Convert to christianity today in saudi arabia an see what will befall you).
On the contrary christianity started as a peaceful religion(unlike jesus mohammed, never fought wars) until the white man took hold of it and debased it finally turning it into the most violent religion, yes the arabs started slavery in Africa, but christians , i.e catholic countries like spain instituted slavery and other evils thereof in a scale never seen and would probably never see in the history of the world.
Kwahiyo historia inaonyesha kuwa wakristu na waisilamu wote ni violent people lakini naamini kuwa mwisilamu given the power, will excell in conquest just as the Muhammed himself, whom I am afraid to say,was more of a cruel pillager and than a mystic, Although it terms of violence so far, white christians have surpassed muslims.
Ok, for the sake of argument ikiwa mtu ni violent etc...siyo mkristo, basi na-modify "watu wanaoishi nchi zenye wakristo wengi wametokea kuwa ndio watu wahalifu, wagomvi, wazinzi na wabakaji etc" kuliko watu wote katika historia ya dunia..Kama mtu ni violent, (pia mzinzi, mbakaji, mwizi, nk) halafu bado unamwita "Mkristo" (au Mkristu kama ulivyoandika) nakupa pole sana! Your words are simply political and far from the reality and true nature of faith in Christ Jesus! Nakupa tena pole sana!