Sniper Tactics!!!!

Mh!nini tena jamani?mbona tunatishana?Utafikiri Irak au Somalia?
 
Duh! hii topic inatisha! hivi kwa mtu wakawaida unaweza kupata hii hapa bongo? Na ulizia hivi maana nikiwa na kitu kama hichi kwenye mambo ya ujasiria mali lazima nitatoka tu.
 
Duh! hii topic inatisha! hivi kwa mtu wakawaida unaweza kupata hii hapa bongo? Na ulizia hivi maana nikiwa na kitu kama hichi kwenye mambo ya ujasiria mali lazima nitatoka tu.

Lol! nimecheka sana mkuu, wewe unachukua contract za kuanzia milioni mia mbili! nimemwambia Ab- anitafute nimpe kazi!:biggrin1:
 
Lol! nimecheka sana mkuu, wewe unachukua contract za kuanzia milioni mia mbili! nimemwambia Ab- anitafute nimpe kazi!:biggrin1:

Nikija Bongo lazima nitaku-beep tujadili bei...LOL!...:biggrin1:
 
Lol! nimecheka sana mkuu, wewe unachukua contract za kuanzia milioni mia mbili! nimemwambia Ab- anitafute nimpe kazi!:biggrin1:
Ndio mpango mzima huo.... Mwenye data za hii kitu atuwekee hapa tafadhali. Natamani kununua hii kitu aisee! kama kuna mtu anaweza kunipa infor za upatikani wake namna ya kuingiza hapa nchini tuwasiliane tafadhali.
 
.... For killing animal ???? U need meet or!!!!. Serengeti ther are alot!!!
 
nyie hamjaelewa tu,

ana maanisha this is october 31, 2010 in T.a.n.z.a.n.i.a
 
Hivi hayo mamashine umeyatoa wapi ??? Yaani "umenikuna kweli" maana mimi nazipendaga sana sinema za watu wanaolenga shabaha a.k.a snipers. Ningefurahi kweli siku moja ningekuwa sniper , hata kama ni u-sniper wa kuua mbu !!!
 
Ndio mpango mzima huo.... Mwenye data za hii kitu atuwekee hapa tafadhali. Natamani kununua hii kitu aisee! kama kuna mtu anaweza kunipa infor za upatikani wake namna ya kuingiza hapa nchini tuwasiliane tafadhali.

Hizo ngoma baba ongea na wasomali, wanakufikishia mpaka mlangoni kwa bei karibu na bure!...nikupe namba, ila usinitaje jina, we jishauwe naye kama unamjua mpaka kielleweke!:biggrin1:
 

Huu mtambo ni km ule uliotumika ktk mauaji ya raisi wa kike wa Marekani ktk XIII - The Conspiracy series. Maana ilikuwa ni kitu na boksi, ilihali mdunguaji alikuwa mita kadhaa!!!
 
Duh! hii topic inatisha! hivi kwa mtu wakawaida unaweza kupata hii hapa bongo? Na ulizia hivi maana nikiwa na kitu kama hichi kwenye mambo ya ujasiria mali lazima nitatoka tu.
Jamani naomba jibu, nataka kuangiza huu mzigo kamainawezekana.... Maisha yamekuwa magumu sana Bongo, bila ujasiria mali hutoki!
 
Enheee..! sasa unataka kutuambiaje? Tujiandae kuingiia pori au ...?
 
Huku tunakoenda siko. Sasa we Ab mwalimu siukawatangazie huko majeshini, huku unawatamanisha watu vitu visivyo faaa. Kushabikia silaha ni kushabikia utoaji wa maisha ya binadamu bila ya kujali ni nani na ni kwanini. Kwani huwezi jua minikiitamani na nikaanza kutafuta kuijua na kuipata nitaitumia vp. Unaweze kuta inaanza na nduguyo!
 
All this for who? Is is an advert or product exhibition? Huu uzi haujatulia mie napenda kuzicheki hizi bidhaa ila nikiwa kwenye game za computer kama Delta Force Daga. Sasa huku kwa magreat thinker sijui ujumbe wake unasomekaje kwenu nyie majirani zangu. :help:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…