Slaa akata anga Morogoro
LEO Dk. Willlibrod Slaa alikuwa mkoani Morogoro, katika wilaya za Mikumi na Mvomero. Mikutano imefana. Amesisitiza haja ya Morogoro kuwa na wabunge wa upinzani ili kuongeza uwajibikaji katika halmashauri za mkoa huu, na katika nchi nzima kupitia Bunge; na kudhibiti wizi wa fedha za umma.
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM, Abdulahman Kinana, akisema kigogo huyo ana mkono katika biashara chafu za makampuni ya meli; akamtaka ajielekeze katika masuala ya kitaifa badala ya kumwandama yeye (Slaa). Akasisitiza kwamba ana ushahidi wa kauli zake, kwani hana historia ya kukurupuka.
Kauli hiyo ya Dk. Slaa inakuja siku moja baada ya Kinana kujibu mapigo ya makada wa Chadema, hasa Mabere Marando, ambao waliwataja hadharani vigogo wanaohusika na ufisadi mkubwa, huku CCM ikilalamika kwamba chama hicho cha upinzani kinatoa matusi.
Katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chadema, Marando alisema vigogo waliohusika na wizi wa EPA ni Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Rostam Azizi na Edward Lowassa, akasema waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi ni dagaa wanaoonewa ili kuficha madhambi ya wahusika wenyewe wa ufisadi.
Juzi Kinana alijitokeza na kumbeza Dk. Slaa, kwamba anatumia lugha ya matusi kwenye kampeni kinyume cha makubaliano waliyosaini. Dk. Slaa jana alisema mtu akiiba anaitwa mwizi; na kwamba kumwita hivyo si matusi
Source: Ngurumo

Kinana ameyataka Mwenyewe! I hope hii ni salamu kwako Mjomba

Du! Sasa kumekucha . . . . tutasikia mengi . . .
Sasa ndiyo naanza kuelewa kwa nini CCM wanasisitiza lugha za ustaarabu wanaogopa kuumbuliwa madhambi yao, Kinana naye kesho aseme katukanwa kwa kuambiwa ukweli kuwa ana mkono kwenye biashara chafu ya meli. Kwani kusema ukweli ni matusi au wanafikiri sisi hatujui matusi ni kitu gani, wao wajibu hoja wasikimbilie kutukanwa au waende mahakamani.Slaa akata anga Morogoro
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM, Abdulahman Kinana, akisema kigogo huyo ana mkono katika biashara chafu za makampuni ya meli; akamtaka ajielekeze katika masuala ya kitaifa badala ya kumwandama yeye (Slaa). Akasisitiza kwamba ana ushahidi wa kauli zake, kwani hana historia ya kukurupuka.
Kinana ameyataka Mwenyewe! I hope hii ni salamu kwako Mjomba
ufisadi au kuitwa wezi sio lugha za matusi jamani wanataka lugha gani zitumike!Kama namuona vile Kinana!! Amekanyaga bomu.
However, ni vizuri CHADEMA kuweka records staright ili kwenda sawa na wakati. Inabidi Abdulhaman Kinana akose la kusema!!
Go Slaa...