Silly cat doesn't even know what privacy is, what hierarchy is, what collective responsibility is, what time management is, what micromanagement is, what populism is (no?), what protocol is, what policy is, what rule of law is, what chain of command is, what delegation is... I could go on and on.
Suffice it to say poor cat wants to take us back to some Harun Rashid Baghdadi shitty type of government.
Even the mayor of Dar can't roll like that nowadays. This is pathetic. This guy is not fit to be mayor of Dar let alone prezidaa of the United Republic.
Je inawezekana kum-bip ili anipigie baadae?
Wakati Nyerere alikuwa akitumia muda mwingi kusoma na kuandika vitabu na makala za kisomi baada ya kutumia kichwa kufikiri sana, huko tunakoelekea ni kubaya zaidi kwa kuwa tumennza kupata viongozi wasiotumia hata chembe ya muda kufikiri kisomi juu ya dhamana walizonazo kitaifa, ni kizazi cha kushinda kwenye "online games" na "chatings" za sms. Ni kizazi kinachotegemea zaidi mawazo ya wengine kuendesha fkrra zao kwa kusikia kupitia vyombo vya habari na udaku.
Kwani muungwana kuwa ni simu ni kosa ?na wewe alikulazimisha umpigie? Jamani tuwe fair angalao kidogo,tusiponde tu kila siku , ina maana hakuna jema hata moja alioufanyia umma huu?