Source please!!!
Screw them! Screw the people who try ti defend this corrupt regime!
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.
Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?

yaa zamani sana..Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.
Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?
Hii ni habari ya tarehe 10 january 2012 ............hili sakata lipo wazi sana lakini imekuwa kama wanampiga nyoka mkiani badala ya kichwa.......lifike mwisho tujadili mengine....humu JF tu kuna kila kitu......
kumbe ni zilipendwa ?
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.
Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?
Hii snema kali sana hii...nasubiri nion mwisho wake!