Hili ndio jambo losiloeleweka kwa wengi hata seii irikalini kwamba huwezi kuliendesha jiji kwa kitumia daladala bali lazima uwe na kampuni kama uda yenye wafanyakazi wanaoeleweka na kutoa tickets kwa mashine na kuweka kumbukumbu zote za abiria, mapato na umbali ulio kuwa coveredmTatizo siyo UDA kuuzwa kiujanja -ni sehemu ya tatizo tu- tatizo ni UDA kuuzwa kabisa. Jiji la Dar linahitaji a modern public mass transit system. Hivi ni gumu sana kulielezea au kulielewa hili?
Screw them! Screw the people who try to defend this corrupt regime!
What about previous regimes?..... same I guess?And screw all those who are in any way associated with this evil regime, screw all of them !
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.
Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?