Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Hebu ngoja kwanza, kwan ule mkopo wa SGL kutoka TIB (5b) haukudhaminiwa na mali za UDA? Sasa itakuwaje?
........... wakati mwingine ni papers tuu ziliwekwa mezani ! lazima uwe na "plan B"Hebu ngoja kwanza, kwan ule mkopo wa SGL kutoka TIB (5b) haukudhaminiwa na mali za UDA? Sasa itakuwaje?
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.
Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?
Kiongoz usiwe kama mgeni, hizo zote ni movies/deals tu hao wakopaji walishajua hatma ya huo mchezo wa kuchukua UDA kihuni ili just wachukue mkopo then mkiwanyang'anya UDA mkopo utajicancel humo humo, mbona TIB ni kwao!!! Kumbuka nyuma ya hiyo deal yupo Iddi Simba na wezi wengine wa resilimali zetu. Mungu angekuwa mkali hii mijamaa angeiwasha moto mara moja chaaaaap tuisahau!!!!!!Hebu ngoja kwanza, kwan ule mkopo wa SGL kutoka TIB (5b) haukudhaminiwa na mali za UDA? Sasa itakuwaje?
You are very right! Na sababu kubwa ni kwamba wao ni miongoni mwa watu ambao wamethubutu kufisadi, wameweza though sio sana ila wakipewa the second chance, watasonga mbele......................CCM inaamini kuwa nchi yetu inahitaji wahuni/mafisadi/wezi wa rasilimali zetu kama hawa ili kusonga mbele!Waliotuinguiza mkenge mi natabiri kuwa watapewa ubalozi nchi za nje au ukuu wa mkoa.
Na tunao TISS plus CID!!Kuna taarifa kwamba Robert Kisena yule mmiliki wa simon group ameunguza masijala za UDA wiki mbili zilizopita kama juhudi zake za kupoteza ushahidi. moto huo inasemekana ni wa kupangwa kwa sababu maalum ya kuunguza nyaraka.
We are very Stupid!(including me)kalakala zote za UDA zilizopo kurasini makao makuu Robert kisena kazivunja na kujenga maghala ya kuhifadhia pamba na maghala mengine kapangisha kwa kampuni ya bia TBL na makampuni mengine.