Mi nadhani ulikosea maana kama alikwambia no ulipaswa kuheshimu uamuzi wake. Anyway nae alifanya vizuri maana alionyesha msimamo wake.
Kuhusu kumpigia cm ye anacheka inawezekana amekuwa na interest na wewe. Vunja ukimya muimbishe binti kama unampenda kweli na sio umchakachue then umdump binti wa watu.
tehe huyo ndo mwanamke bana
anacheka kwa sababu ulicheza na k. K huwa haichezewi hasa ikiingia ktk 18. U were suposed 2b aggressive angetoa tu.
Mkuu haya mambo si ndio ya Ubakaji ya kuwa aggressive?
ushauri wako ni mzuri sana na nimeupenda
kaka haya Mageto si ndiyo yamewafanya akina Babu Seya wapate shida hadi leo?
kaka haya mageto si ndiyo yamewafanya akina babu seya wapate shida hadi leo?
tatizo la awa bnadamu wamezoea wakigonga m;lango wanafunguliwa....m so hapy for that gal
yaan wamekremisha vbaya vbaya et skuizi demu atongozw kwa siku mbili just masaa tu watu wanakula mzgo
watambue na waaache kugeneralize kila demu ni wa dk moja chapa....aka chapwa chapwa!
wanashindwa kutofautisha mafanyabiashara na wasichana kawaida...i wsh aende tena afu amnyime tena...ehh mwenyewe akiniskia ataniua.....!!!!