kaka chuki ni mbaya kuliko cancer maana kwako inakuwa kila kitu kina rangi moja [ile uitakayo] ikiwa si hivyo basi inakuwa nongwa. Ukiendeleza chuki utakatishwa tamaa na uwezekano wa kufa upesi kutokana depression utakuwa mkubwa sana. Idumu tanzaniakifo cha mzee kawawa kimeacha simanzi na huzuni kubwa si kwa familia yake tu bali hata kwa taifa letu ambalo tuna utamaduni wa kuwatunza na kuwaenzi wazee wetu.pamoja na hayo sijaona manti ya rais wangu kuacha kuhutubia taifa ktk siku hii muhimu na kwa utaratibu aliojiwekea wa kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi na kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na msimamo wa serikali kuhusu baadhi ya mambo.
Kama sababu ni msiba wa mzee kawawa,bado alikuwa na nafasi ya kuhutubia japo hata kuwapa wananchi moyo wa uvumilivu na ujasiri wa kuishi kwa amani bili kawawa..hakufanya hivyo,je huko ni kukosa ujasiri kwa rais?je kawawa alikuwa/ni muhimu kuliko watanzania wote ambao kwa kudra za mwenyezi mungu aliwaacha hai ili pamoja na kumtumikia yeye wapate kusikia hotuba ya rais wao? Au rais alikuwa hajaandaa hotuba yake na au hakukuwa na la maana sana kuongea na wananchi?
Sasahivi tunazo nyerere day,sokoine day,independence day,revolutionary day,union day plus sikukuu za kidini.je tunahitaji tena kawawa day?
Ndugu zangu waislam napenda kuwahuswia pamoja na kuihuswia Nafsi yangu katika kumcha Allah na kufata maamrisho yake na kucha yale aliyokataza.
Nikirejea katika Quran imeweka wazi kabisa kuwa sisi ni Umma Bora sana na sababu za sisi kuwa Umma bora ni tatu tu. 1. Tunaamrishana mambo mema 2. Tunakatazana mambo mabaya 3. Tunamuamini na kumtwii Allah Subuhanau wataala.
nawahuswia Muweke Husia.
Ni lazima mjue mambo muhimu kwa maiti wa kiislam. Mola amesema bayana Mtu anapofariki tu tunatakiwa haraka sana kumzika.
Kumbukeni Shart za maiti wa kiislam ni
1. Kumfunika (kumsitiri) pale anapofariki tu
2. Kuoshwa
3. Kuvikwa Sanda.
4. Kulipa madeni yake na kupokea zile anazodai ( kuwakabidhi wadeni/ wadaiwa kwa mtu maalum katika familia)
5. Kumswalia.
6. Kuzika.
hakuna kipengele katika Dini kinachosema kuwa kuna issue ya Kuaga maiti. Huo ni UKRISTO MTUPU na tutaangamia kwa mambo haya ya kuiga ukristo.
hakuna mambo ya kuchanganyika wanaume na wanawake katika misiba hususan kuaga au hata kwenda kuzika.
Mungu atunusuru sana na mambo haya ya kinaswala.
nawahusia muweke Usia msije fanyiwa mambo kinyume.
Dr Hamza Yousuf Al nammani
Doha
kaka chuki ni mbaya kuliko cancer maana kwako inakuwa kila kitu kina rangi moja [ile uitakayo] ikiwa si hivyo basi inakuwa nongwa. Ukiendeleza chuki utakatishwa tamaa na uwezekano wa kufa upesi kutokana depression utakuwa mkubwa sana. Idumu tanzania
Ndugu zangu waislam napenda kuwahuswia pamoja na kuihuswia Nafsi yangu katika kumcha Allah na kufata maamrisho yake na kucha yale aliyokataza.
Nikirejea katika Quran imeweka wazi kabisa kuwa sisi ni Umma Bora sana na sababu za sisi kuwa Umma bora ni tatu tu. 1. Tunaamrishana mambo mema 2. Tunakatazana mambo mabaya 3. Tunamuamini na kumtwii Allah Subuhanau wataala.
nawahuswia Muweke Husia.
Ni lazima mjue mambo muhimu kwa maiti wa kiislam. Mola amesema bayana Mtu anapofariki tu tunatakiwa haraka sana kumzika.
Kumbukeni Shart za maiti wa kiislam ni
1. Kumfunika (kumsitiri) pale anapofariki tu
2. Kuoshwa
3. Kuvikwa Sanda.
4. Kulipa madeni yake na kupokea zile anazodai ( kuwakabidhi wadeni/ wadaiwa kwa mtu maalum katika familia)
5. Kumswalia.
6. Kuzika.
hakuna kipengele katika Dini kinachosema kuwa kuna issue ya Kuaga maiti. Huo ni UKRISTO MTUPU na tutaangamia kwa mambo haya ya kuiga ukristo.
hakuna mambo ya kuchanganyika wanaume na wanawake katika misiba hususan kuaga au hata kwenda kuzika.
Mungu atunusuru sana na mambo haya ya kinaswala.
nawahusia muweke Usia msije fanyiwa mambo kinyume.
Dr Hamza Yousuf Al nammani
Doha
...kaka hapo hamna UKRISTO WALA UISLAMU BALI NI UTARATIBU WA KISERIKALI KTK KUWAPUMZISHA WALIOTANGULIA MBELE ya haki.Kawawa hakufanya kazi ya waislam pekee bali aliwatumikia WATANZANIA WOTE.
Hata kama angeacha wosia bado serikali ingeuangali vyema kwa kuzingatia serikali haina dini.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ alikuwa ameacha wosia kwamba,akifa mwili wake ukaushwe na utumike kama kifaa cha kufundishia(teaching aid) kwa sababu yeye ndio muanzilishi wa viwanja vya mazoezi ya viungo jeshini.wosia ulipelekwa makao makuu ya jeshi na ikulu,sehemu zote walimkubalia kwamba itakuwa hivyo lakini alipofariki mwaka jana hakuna kilichofanyika kwani sio utaratibu wa serikali.
Waislamu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makafir, je wewe unaamini hivyo?Haj Hafif ameshangaa Mzee kawawa hajafunuliwa hiyo ni kwa sababu si utamaduni wetu.