Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 424
- 90
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin
tayari hii makitu ipo humu majukwaani!
btw, pole kwa familia!
Asante sana mkuu mana mie nlipopata habari tu nkakimbia kuwajuza kumbe wenzangu walisha wahi haina mbaya lakini.
siku nyingine utulie kwanza upate usahihi
kuna akina shirima pressure zimewapanda hivyo watake radhi!
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin
Duh hii kali nilidhani mkuu wa mkoa wa Arusha katutoka.Mkuu kunatofauti kubwa baina ya Shirima wanatoka Kilimanjaro Silima Zanzibar.
ripHata mimi mkuu nilidhani mzee Isdore Shirima a.k.a Baba Nana moyo ulinilipuka maana hii familia naifahamu tangu mzee alipokuwa mkuu wa mkoa Dodoma.