Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.Point well taken, you don't like me and you think I don't have a valid contribution.
Kama nilivyosema mwanzo, siko hapa kupendwa, sitafuti sifa wala siogopi lawama.
Huk kwenye kusema sina point, the central idea ya forum hii ni kujuzana kwa mazungumzo ya back and forth, sasa wewe huna majibu kwa maswali yangu, unakimbilia kusema mimi much know, unalia lia tu.
Unaoneka huna nyimbo, na kama hupendi kusoma maneno yangu kuna feature ya kuniscreen uione posts zangu kabisa, jifunze kutumia JF labda itakusaidia usikereke zaidi. Your loss.
Ninaowakera hawana muda hata wa kusoma posts zangu, sembuse kunijibu.
Wewe unanisoma, unanijibu, nakujibu, unanijibu, wewe huwezi kusema nakukera, nikikukera utaruka ninachoandika.
Well said Luteni. Tena aligeuka baada ya CC kukata jina lake. Leo ni hero wetu!
Kuna sehemu kama Wilaya za Muheza/ Mwanga/ Same huko viongozi wa Chadema laah! yaani hata mwenyewe anaona aibu kugombea, sasa kama yupo ''shibuda'' atakayepeperusha bendera kuna tatizo gani. Lengo kuwe na wapinzani wengi bungeni kwanza.
Mi nasema Selelii, Aloyce, Shibuda wakihamia Chadema poa tu ,vumbi lao tunalijua jamani! mnyonge mnyongeni haki...............
well said luteni. Tena aligeuka baada ya cc kukata jina lake. Leo ni hero wetu!
Kuna sehemu kama wilaya za muheza/ mwanga/ same huko viongozi wa chadema laah! Yaani hata mwenyewe anaona aibu kugombea, sasa kama yupo ''shibuda'' atakayepeperusha bendera kuna tatizo gani. Lengo kuwe na wapinzani wengi bungeni kwanza.
Mi nasema selelii, aloyce, shibuda wakihamia chadema poa tu ,vumbi lao tunalijua jamani! Mnyonge mnyongeni haki...............
kwani ccm ilipata wapi wanachama, hata vyama vya upinzani vitachukua hawa hawa watanzaniachadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea
wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
sizitaki mbichi hizi utawajua tu walioumiakahamia mpenda-ozo na hakuleta impact yoyote sembuse jingajinga!
kwani wagombea sio wanachamaQuinine..... Hatuzungunzii wanachama tunazungumzia wagombea
Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.
Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.
Much know au mtu wa kubwabwaja tu linalokuja kichwani?
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea
wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
wabongo wote tukipenda chongo tunaita kengeza ..........
vyama ni ushabiki ...........ccm haina doa kwa washabiki wake, na chadema hali kadhalika
kitaje tu .........