Ni makosa kuchagua mbunge kwa misingi ya chama achaguliwe kwa uwezo wake hata kama ni mgombea binafsi.
Watu wana haki na wajibu wa kupigania haki popote pale walipo. Kuna kuokoka na kuzaliwa upya. Wanakaribishwa kwenye mapambano kupitia CHADEMA. Wasijikie huru, wala hawana haja ya kujiona wageni. Kanyaga twende, mpaka kieleweke.
Mbona Slaa aligeuka na akashinda.
Watu wana haki na wajibu wa kupigania haki popote pale walipo. Kuna kuokoka na kuzaliwa upya. Wanakaribishwa kwenye mapambano kupitia CHADEMA. Wasijikie huru, wala hawana haja ya kujiona wageni. Kanyaga twende, mpaka kieleweke.
Two words for you; Joe Lieberman
Kwa bongo haya mambo ya falsafa bado sana. Unaweza kuniambia vyama vya siasa Tanzania ni vya mrengo gani?
Mfano mbovu huu.
Kiranga,
Nakubaliana na wewe 100% hasa kwa Shibuda huyu CHADEMA wasimpe nafasi ya kugombea ubunge labda kama anataka kuwa mwanachama wa kawaida maana hiyo ni haki yake. Wanasiasa kama hawa hawafai kabisa, si mnakumbuka alivyokula matapishi yake kuhusu kugombea urais. Angekuwa ni mtu mwingine nisingekuwa na tatizo maana hata Slaa CHADEMA walimpata kwa mtindo huu. Lakini Slaa ni mtu mwenye staha na msimamo unaoeleweka, lakini huyu hapana, abakie huku kwetu tucheze naye na asipoangalia hata uanachama tutamnyofoa maana kasema CCM bila rushwa haiwezekani maana yake hata mwenyekiti wetu ni corrupt..................????????????????? Hana adabu huyu
Until tutakapokuwa na sheria ya kuruhusu mgombea binafsi, kumchagua mgombea kwa uwezo wake binafsi tu, bila kujali falsafa za chama chake ni kutafuta matatizo. Vipi kama mgombea anaamini ubepari na chama kinaamini usoshalisti na somehow ameweza kupata ugombea kwa style hii ya "kutemwa na CCM na kwenda CHADEMA" ? Huoni kwamba hapa kumchagua huyu kutakuwa ni kupika majungu tu ? Kesho mgombea ataingia mjengoni na kutoa siasa zake kichwani ambazo zinapingana na manifesto ya chama, migogoro itakuwa haiiishi.
Haya ndiyo matatizo ya nchi changa ninayoyaongelea kila siku, watu hatuna institutions tunaenda na personalities tu. Kama ni hivyo tuondoe na katiba kabisa, tuondoe vyama, turudi kwenye uchifu tu, siku Kikwete akiwa bored akijisikia kuchinja wapinzani awachinje tu.
Si tunafuata uwezo wa mtu bwana? Hamna rule of law, hamna institutions, hamna procedures, kila kitu kitokane na mtu tu.
Sikatai kwamba kuna umuhimu wa kuwa na wagombea binafsi, ili watu kama mimi ambao hatuna chama na hatuoni chama cha kuunga mkono tuweze kushiriki katika kuchaguliwa. Lakini hili halina maana kwamba kama hatuna mgombea binafsi, mtu yeyote wa mrengo wowote anaweza kuingia chama chochote cha mrengo wowote, akapiga gabfest, akakubalika. This is a recipe for disaster.
Mgombea akishakubali kuwa nominated na chama fulani, ana wajibu wa kutekeleza manifesto ya chama. Sasa ni lazima kuwe na ndoa kati ya mawazo ya mgombea na manifesto ya chama.
Huwezi kusema umchague mufti wa Baghdad aende kuwa Askofu wa wakatoliki wa Roma, eti kwa sababu tu mufti huyu ana uwezo wa kuongoza watu. Utakuwa huna akili, utakuwa unataka kusababisha mgogoro mkubwa kabisa wa utendaji.
Kwa hiyo hii habari hii, hii habari ya kumchagua mtu kwa uwezo wake inaweza ku make sense kama tu tuna sheria ya kuruhusu wagombea binafsi, kwa sasa hivi kwa sababu hatuna sheria hii, labda kama tunataka kuchagua watu kwa uwezo wao tu tufikirie zaidi kuileta hii sheria ya kuruhusu private candidates, maana si haki kuwadhulumu watu kama mie nisiye na chama haki hii ya msingi.
Lakini usiseme tuwachague wagombea wa vyama kwa maoni yao tu, bila kujali miongozo na manifesto za vyama vyao. Hii itakuwa kituko kikubwa sana.
Nyani,
Unaleta uchaguzi wa Marekani ulio tofauti na wetu katika mazungumzo ya uchaguzi wa Tanzania? Marekani wanaruhusu "Independent Candidates" sisi haturuhusu, big difference.
Lieberman alibadili vyama au ali run kama Independent ?
Nyani,
Unaleta uchaguzi wa Marekani ulio tofauti na wetu katika mazungumzo ya uchaguzi wa Tanzania? Marekani wanaruhusu "Independent Candidates" sisi haturuhusu, big difference.
Lieberman alibadili vyama au ali run kama Independent ?
Kama bongo mambo ya falsafa bado ndiyo tuanze sasa, if not now, then when?
Mimi nachojua CHADEMA ni mrengo wa kulia na CCM at least in theory is a populist leftist party.
Watu wana haki na wajibu wa kupigania haki popote pale walipo. Kuna kuokoka na kuzaliwa upya. Wanakaribishwa kwenye mapambano kupitia CHADEMA. Wasijikie huru, wala hawana haja ya kujiona wageni. Kanyaga twende, mpaka kieleweke.
Rangi ya kijani utawatambua tu!
Two words for you; Joe Lieberman
Kwa bongo haya mambo ya falsafa bado sana. Unaweza kuniambia vyama vya siasa Tanzania ni vya mrengo gani?
Mfano mbovu huu.
Kiranga,
Hata marekani, democrats kibao walibadili vyama na kuwa republicans (from south) baada ya L Johnson kupass civil rights na sheria kibao ambazo maliberal walikuwa wanazipenda.
Kuhama vyama au kubadili mrengo imetokea na inaendelea kutokea hata marekani.
Majuzi tu yule seneta wa PA (nimemsahau jina) alibadili chama na alikuwa na nafasi nzuri tu ya kushinda ila uzee (na upuuzi wake ukamwangusha).
Una busara sana wewe Kitila. Sijui lini tu utagombea uraisi...ila kabla ya kutangaza nia itabidi usawazishe lile soo lako la UK....lol
Otherwise, maneno yako ni ya hekima sana. Heko....
Kwani hakuna waliobadili kutoka Republican na vice versa na wakashinda chaguzi?
1. Be serious mkuu. You can not honestly use Joe Lieberman as an example. Kwanza kwa Marekani if you know anything about political science (which I'm sure you do) utajua kwama Marekani wana what is called 'weak party system". Meaning kwamba hamna mfugamano wa kichama. Hata kadi za uanachama hazi exist. Pili Joe Lieberman baaada ya kushindwa primaries za Democrats aka gombea kama independent na haku hama chama. Hadi sasa mara nyingi huwa ana vote on the side of the Democrats. So utamlinganishaje Lierberman na SHibuda? Mfano mbovu huu.
2. You are confusing philosophy and political ideology. Una taka nikuambie kama vyama vya Tanzania ni left or right wakati unajua fika kwamba left, right, conservative & liberal ni a western phenomenon na haiz exist everywhere in the world. Again usi jaribu kucompare kila kitu cha Marekani na huku. ZIngatia we have different political systems na ndiyo maana ukatoa mfano wa Lieberman bila kufikiria kwamba he ran as an independent na Tanzania hakuna wagombea binafsi.