Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,082 Feb 3, 2010 #1 That man is said to be searching network in Ruvuma.
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,829 Feb 3, 2010 #2 bombii nyumbi hii
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Feb 3, 2010 #3 Mkuu hivi huyu jamaa anamiguu ya plastiki?
Mazingira JF-Expert Member Joined May 31, 2009 Posts 1,833 Reaction score 307 Feb 4, 2010 #4 MaxShimba said: https://www.jamiiforums.com/attachm...1-searching-for-network-searching-network.jpg Mkuu hivi huyu jamaa anamiguu ya plastiki? Click to expand... Mwenyewe nimeshangaa kwelikweli, au jamaa aliazima miguu ya ndege kwa muda! hahahahahahahaha.
MaxShimba said: https://www.jamiiforums.com/attachm...1-searching-for-network-searching-network.jpg Mkuu hivi huyu jamaa anamiguu ya plastiki? Click to expand... Mwenyewe nimeshangaa kwelikweli, au jamaa aliazima miguu ya ndege kwa muda! hahahahahahahaha.
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,172 Feb 5, 2010 #5 Sio Ruvuma mkuu....ni Kigali Rwanda Lol!
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Feb 5, 2010 #6 MaxShimba said: Click to expand... MaxShimba said: Mkuu hivi huyu jamaa anamiguu ya plastiki? Click to expand... Huyu amekanyaga waya wa Earth
MaxShimba said: Click to expand... MaxShimba said: Mkuu hivi huyu jamaa anamiguu ya plastiki? Click to expand... Huyu amekanyaga waya wa Earth
A achiwalila Member Joined Dec 2, 2008 Posts 29 Reaction score 0 Feb 5, 2010 #7 Kwa mgao wa umeme wetu huu, Haya yanafanyika kwingi na hapana wasiwasi - tanesco na mgao wa umeme kwa masaa 12/ 24 ....
Kwa mgao wa umeme wetu huu, Haya yanafanyika kwingi na hapana wasiwasi - tanesco na mgao wa umeme kwa masaa 12/ 24 ....
tgeofrey JF-Expert Member Joined Jan 29, 2008 Posts 592 Reaction score 38 Feb 7, 2010 #8 piga , galagaza uwa mpaka network ipatikane