mwenzi anapatikana popote,kanisani,masijid,bar,shuleni,kwenye mziki nkUnajua mi sijaweza kuelewa hii staili ya kutafuta wachumba kwenye mitandao mi nadhani kama muda wa kuoa au kuolewa unafika pale unapompata mtu mnaanza urafiki uchumba then unaoa lakini usikurupuke tuu kwa kutangaza unataka kuoa unaoa nini sasa maneno! muombe mungu wako akupe mke mume mwema...naboreka sana kuona thread watu wanatoa humu na kuweka masharti ya nataka hiki nataka kile...kwa hiyo wasio na hizo sifa hawataolewa au kuoa achen hizo bana...muda wako ukifika hutakuw na hata haja ya kuesma ni hayo tuu kwa leo...
Nimekuwa mtazamaji na mchangiaji katika jukwaa kwa muda sasa.Lakini ombi langu kwa leo nadhani umefika muda niseme kwamba nahitaji mke.Sifa zifuatazo zinahitajika.Mzuri wa haja,mweusi(si kama Idd Amini),mwenye urefu wa wasitani,asiyependelea vileo,mwenye kiu ya maendeleo, MCHA MUNGU,asiwe ni ndiyo mzee(she must be critical),awe mfanyakazi kwa kujiajiri au kuajiriwa (lakini si mwanasheria),Umri walau kuanzia miaka 23 mpaka 25.La muhimu zaidi asiwe mwanasiasa.Karibuni.