D Dot com Member Joined Nov 6, 2010 Posts 20 Reaction score 0 Dec 3, 2010 #1 Wana Jf, CDM naomba kufahamu, Sambwe Shitambala alikubali kendelea kuwa M/kiti wa CDM Mbeya baada ya kuandikiwa barua na Dr. Slaa au kujiuzuru kwake kunaendelea?
Wana Jf, CDM naomba kufahamu, Sambwe Shitambala alikubali kendelea kuwa M/kiti wa CDM Mbeya baada ya kuandikiwa barua na Dr. Slaa au kujiuzuru kwake kunaendelea?
mchonga JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 1,233 Reaction score 249 Dec 3, 2010 #2 Uchunguzi umegundua kuwa hana tuhuma zo zote na amesafishwa na chama. Tayari ameisharudi kazini.