MasterMind
Senior Member
- Aug 26, 2010
- 102
- 0
OMG tutafika kweli? tunashukluru kwa techiniqus za kuongeza kasi na maambukizo ya UKIMWI na mmomonyoko wa maadili.
Ohhh......! Just thanks for your exposure....! I must print this so that I can work on it against my spouse...! However, not to apply in cheating, but it could help me to make a follow up on my spouse whether I am being cheated on....!
Karibu sana mkuu.....:smile-big:
Jamani jamani !:confused2:
Ndugu mtoa sredi.....! Ahsante sana na kamata hiyo hapo chini!! Nimeikopi na kuipesti kwenye kumbukumbu zangu muhimu. Nna mpango wa kuifanya iwe screen saver yangu ili nipate kuikariri vizuriMmh!!!!!!!!! Asprin?:smile-big::smile-big:
Yaaani Jameni.. Siwezi kuamini vile nasoma..nyinyi mnapenda kucheat baada ya ku funga ndoa? Kucheat Haiji.. because sasa, kuna emotions involved.. Mke wako anakupenda na ako nyumbani, ka-kungojea na wewe unamdanganya, upo ofisini? Mnaweza kufanya hivyo bila kuskia mbaya? And I bet ungemkamata anayecheat on you, ungekasirika sana? Kwanini hizo double standards??
Naamini, mungekuwa single and mingling, mneza fanya chochote munachotaka lakini after marriage, ni wakati wa kukuwa serias..msidarau ndoa