RIP

Police wa tz ni mbwa na watumwa ! Wanakufa masikini kabisa, wanaonea raia ! Wao ni kupokea amri kwa posho kiduchu !

Mtu anazeeka/staafu hana chochote mpaka anajifia
 
Tunampa pole kama Binadamu mwenzatu, kama alifanyama dhuluma zozote kutokana na kazi yake basi Mwenyezi Mungu na amuadhibu kama itakavyokuwa sawa kwake, Amina.
 
Police wote walioshiriki kuua mo29 wanakufa mmoja baada ya mwingine. Mpaka wote waishe
 
Kuna mabraza wa kitaa ni maafande aseee hawana Amani kabisa kama zamani. Wamechange sanaaaa..... Ukiwaangalia tu unaona kabisa Kuna kilio ndani yao ila ndio hawana namna. Kuna kazi nyingine ni laana sana.
 
alpha puma unity mango zeus ink kenya equity kiwi alpha adult male agriculture nill ill. AMEEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…