Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,146
- 17
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
Jamani Zitto,
Unachinja sana lugha ya malkia.
Andika kiswahili na utaeleweka vizuri zaidi.
Nshamwambia mimi lakini hasikii.....huyu jamaa sijui vipi huyu...
Ndo mazao ya UDSM hayo na kina Omari Iliyasi
Ila Dr Mkumbo yuko fit (labda kwa vile alikimbia UDSM for a while)
Kitila alienda UK...au umesahau? Na huko ndo akawa na lile soo lake....
Nshamwambia mimi lakini hasikii.....huyu jamaa sijui vipi huyu...
Ndo mazao ya UDSM hayo na kina Omari Iliyasi
Let's stop this nonsense of ridiculing each other. That is childish and un-acceptable behavior to say the least.
Wewe nawe bana...kama vipi tambaa
No, people are sick and tired these silly acts and can't tolerate anymore.
if you can't tolerate then just quit
Jamani Zitto,
Unachinja sana lugha ya malkia.
Andika kiswahili na utaeleweka vizuri zaidi.
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
are you kidding me? Drew Brees would love this shyt hommie
Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind.
You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi maana ya "moron" hiyo lugha ya malkia wako.
On a serious note, how are them Saints doing? Are they contenders or pretenders this season? I heard they don't have a running game this time...What about Reggie Bush and Pierre Thomas' injuries?
Lugha ya malkia wako ni lugha tuu kama lugha zingine. Na kama unataka kushindana na watu kuhusu hiyo hiyo lugha ya malkia wako humu wewe unaonekana mchwa. Zitto is cleary upset and in an agitated state. We all write rubbish in that state of mind.
You moron, haya nenda kaangalie kwenye kamusi maana ya "moron" hiyo lugha ya malkia wako.
Tnakuja hapa kwenye jukwaa la Watanzania ambako angeweza kujieleza kwa mikogo yote ya Kiswahili, kwa Kiingereza cha kuunga unga.
.
Sikufichi nimei report hiyo post yako,definetly post kama hizi zinafanya wengine iwe vigumu kuchangia. Huu ni upuuzi wa hali ya juu ambao hautakiwi kuvumuliwa kwenye forums za watu wenye akili timamu na wenye kujali issue zinazolikabili taifa lao....Kama ni mara ya kwanza kwa baadhi ya watembeleaji wa foru, jii halafu wakakutana na huu upupu unadhani first impression yao itakuwa vipi?
Acheni ujinga msituharibie forum bana.