K kaka mtu Member Joined Nov 15, 2010 Posts 17 Reaction score 3 Dec 3, 2010 #1 Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?.
Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?.
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 19,011 Reaction score 19,025 Dec 3, 2010 #2 kaka mtu said: Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?. Click to expand... Si Mkewe aliitumia wakati wa kampeni?? Au siyo??
kaka mtu said: Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?. Click to expand... Si Mkewe aliitumia wakati wa kampeni?? Au siyo??
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Dec 3, 2010 #3 hakujawahi kuwa na kitu ya namna hiyo hapa tz. wala nchi haina uwezo wa kununua hiyo kitu.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Dec 3, 2010 #4 Mkuu Ndege ipo na JK alishawai itumia na bado anaitumia,But inabeba watu wachache so due to wingi wa watu katika misafara ya JK ndege aitoshi wote,thus why aitumiki marakwamara japo Mramba aliamua ata Majani tule ilimradi Gulf stream inunuliwe
Mkuu Ndege ipo na JK alishawai itumia na bado anaitumia,But inabeba watu wachache so due to wingi wa watu katika misafara ya JK ndege aitoshi wote,thus why aitumiki marakwamara japo Mramba aliamua ata Majani tule ilimradi Gulf stream inunuliwe
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Dec 3, 2010 #5 zipo...kuna gulfstream na fokker 100....wewe unaizungumsia ipi?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,761 Dec 3, 2010 #6 preta mtana ndege ya rais ni gul stream550 na fokker50 sio 100 fokker zipo mbili ile ya mwl aliyopewa na queen na hiyo nyingine
preta mtana ndege ya rais ni gul stream550 na fokker50 sio 100 fokker zipo mbili ile ya mwl aliyopewa na queen na hiyo nyingine
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,254 Dec 3, 2010 #7 Mkuu, Angalia hapo chini hiyo ya mwisho kabisa ambayo ndio the world most expensive private jet (G550) ndio ndege ya Mkwere wetu... Top 5 Most Expensive Private Jet Aircrafts in the world | World Interesting Facts | Interesting Facts Around the World
Mkuu, Angalia hapo chini hiyo ya mwisho kabisa ambayo ndio the world most expensive private jet (G550) ndio ndege ya Mkwere wetu... Top 5 Most Expensive Private Jet Aircrafts in the world | World Interesting Facts | Interesting Facts Around the World