Napenda sana watu waliochanganyikiwa kama wewe hawajui washauri nini waache nini.SLAA hawezi kuwa Rais wa nchi hii,kwa sababu muda (wakati) wa vyama vya upinzani kushika dola bado haujafika na hii ni kutokana na vyama hinyo kuwa na uchanga,ubinafsi ndani yake pamoja na dira butu.kutokana na matatizo hayo vinashindwa hata kuunganisha nguvu zao na kuweka mgombea mmoja wa urais.Si hivyo tu bali pia vimejikita sana maeneo ya mjini tu na kusahau maeneo ya vijijini.
Vyama vya upinzani kwa sasa vingejizatiti zaidi katika kuwania nafasi za ubunge na siyo urais kama Slaa na wenzake walivyoamua kufanya. Hivyo SLAA hawezi katika uchaguzi huu kushinda kiti cha urais.Utapoteza kura yako bure ,vyama vya upinzani bado havijajipanga vizuri,tuvipe muda zaidi ili viweze kujipanga.
Hayo ni mawazo yako binafsi, hapiga kura ambao hawana si wanachama wa chama chochote wanauamuzi wa kumpigia kura nani, kwani vyama vyote vina migogoro ya ndani ispokuwa inatofautina viwanga hata CCM inamatatizo makubwa kwa kuwa wanashika dola mambo yanafukiwa na kuwa kwao madarakaniSLAA hawezi kuwa Rais wa nchi hii,kwa sababu muda (wakati) wa vyama vya upinzani kushika dola bado haujafika na hii ni kutokana na vyama hinyo kuwa na uchanga,ubinafsi ndani yake pamoja na dira butu.kutokana na matatizo hayo vinashindwa hata kuunganisha nguvu zao na kuweka mgombea mmoja wa urais.Si hivyo tu bali pia vimejikita sana maeneo ya mjini tu na kusahau maeneo ya vijijini.
Vyama vya upinzani kwa sasa vingejizatiti zaidi katika kuwania nafasi za ubunge na siyo urais kama Slaa na wenzake walivyoamua kufanya. Hivyo SLAA hawezi katika uchaguzi huu kushinda kiti cha urais.Utapoteza kura yako bure ,vyama vya upinzani bado havijajipanga vizuri,tuvipe muda zaidi ili viweze kujipanga.
Waache wahangaike wao wamelipwa sisi tunajitolea bure kabisa tena kwa dhati kupambana nao. Unajua ni vigumu sana kuutetea uongo hata kama umelipwa ndiyo maana wanaishiwa mapema hoja.Dr Slaa anafaa kuwa Rais wa Tanzania,
Naona kachelewa kufanya maamuzi ya kugombea kwani nchi imefikishwa pabaya.
Naona mawakala wa mafisadi wanahangaika kupotosha jamii kuhusu uchaguzi mwaka huu. Tuwabana vyakutosha
Hivi unaelewa kweli wewe, nakwambia kuwa jamaa ajaelekea kabisa huyo.Huyu je kaelekea wapi
South Africa na Tanzania nchi ambazo zimepitia mipito tofauti kabisa, yaani hata hazifanani kabisa, wacha kujipa hope, wake up!Hata makaburu hawajaamini hadi leo kama siku ilishafika.
SLAA hawezi kuwa Rais wa nchi hii,kwa sababu muda (wakati) wa vyama vya upinzani kushika dola bado haujafika na hii ni kutokana na vyama hinyo kuwa na uchanga,ubinafsi ndani yake pamoja na dira butu.kutokana na matatizo hayo vinashindwa hata kuunganisha nguvu zao na kuweka mgombea mmoja wa urais.Si hivyo tu bali pia vimejikita sana maeneo ya mjini tu na kusahau maeneo ya vijijini.
Vyama vya upinzani kwa sasa vingejizatiti zaidi katika kuwania nafasi za ubunge na siyo urais kama Slaa na wenzake walivyoamua kufanya. Hivyo SLAA hawezi katika uchaguzi huu kushinda kiti cha urais.Utapoteza kura yako bure ,vyama vya upinzani bado havijajipanga vizuri,tuvipe muda zaidi ili viweze kujipanga.
Jamaa Hajaelekea!
Hivi unaelewa kweli wewe, nakwambia kuwa jamaa ajaelekea kabisa huyo.
Mbona SURA ya rahisi wenu inatisha hivyo? mwanagnu akimwona anaweza hasilale usiku doh!
SLAA hawezi kuwa Rais wa nchi hii,kwa sababu muda (wakati) wa vyama vya upinzani kushika dola bado haujafika na hii ni kutokana na vyama hinyo kuwa na uchanga,ubinafsi ndani yake pamoja na dira butu.kutokana na matatizo hayo vinashindwa hata kuunganisha nguvu zao na kuweka mgombea mmoja wa urais.Si hivyo tu bali pia vimejikita sana maeneo ya mjini tu na kusahau maeneo ya vijijini.
Vyama vya upinzani kwa sasa vingejizatiti zaidi katika kuwania nafasi za ubunge na siyo urais kama Slaa na wenzake walivyoamua kufanya. Hivyo SLAA hawezi katika uchaguzi huu kushinda kiti cha urais.Utapoteza kura yako bure ,vyama vya upinzani bado havijajipanga vizuri,tuvipe muda zaidi ili viweze kujipanga.
Hajaelekea wapi? Mgonjwa wenu ndo ameelekea?