Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 23
mawazo yako vile vile simplistic unatokea wapi?
Kumjudge mtu kwa sehemu anayo toka is basically wrong, kumbuka African Association haikutoka Bukoba wala Mwanza au Musoma.
I am actually amazed , sir , you must be from outer space.Welcome to thread premise side.... u region upo ktk damu yako
Wandugu vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na ustawi wa jamii yetu.
Kumekuwa na kauli kuwa watu wa pwani ya bahari ya Hindi hapa Tanzania ni wavivu na blah blah nyingi. They are generalist and simplistic. Huridhika kwa vitu vidogovidogo tu. Kwa mfano wengi wao wako nyuma kimaendeleo na tumeona marais wote waliotoka pwani hiyo; Mwinyi, Mkapa na Kikwete performance yao kiuongozi mgogoro mtupu! Wakati mbara tena wa Musoma Nyerere alifanya mambo makubwa.
Mawazo yenu please objectively and for the better future of our country ,lovely Tanzania.

Wakitokea bara itakuwa hatari sana nakumbuka mbara huyo Nyerere au baba wa taifa kama mnavyopenda kumwita aliwapeleka watu kwenda kuliwa na simba ,si unajua wabara kwa kulima ,kuna hatari tukarudishwa kwenye vijiji vya ujamaa.
Bila ya kusitasita ,Nyerere alikuwa Mkristo alifanikiwa kuiweka nchi kwenye mstari heshima kwa watu wa dini zote zilikuwepo japo kulikuwa na manunguniko ya hapa na pale.
Akaingia Mwinyi ,yeye ni Muislamu halikadhalika Nchi ilikuwa imetulia hakuna mvutano ,na wengi waliweza kuona uongozaji wake ulikuwa ule wa fanya na nenda uwezako lakini usivunje sheria ,ilitokea watu wakamsifu kuwa mifuko ya wananchi ilikuwa inajaa vijisenti ,japo senenesenene hazikukosa.
Akaingia Mkapa yeye ni Mkristo .uongozaji wake ulikumbwa na ubabe na walevi wengi walikuwa wakipatiliza na ndipo matabaka yalipoanza kujitokeza na nchi kuuzwa kwa bei poa na kusababisha hata uhuru wa dini kuvurugika na kila mmoja kuona anagandamizwa.
Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa ,kusema kweli anatia aibu Uislamu na kuonekana kuna udhaifu katika taaluma ya uongozi ,jambo ambalo sio kweli ni tabia na hulka zake mwenyewewe na zaidi kuonekana kutojiamini au kutojali dhamana ya uongozi aliyopewa na kuiona kama anawakilisha Uislamu hivyo kujitahidi kujenga sura nzuri ,lakini sivyo inaonekana anajenga sura ya ugoi goi ,kama anngechanganya tabia ya Nyerere na Mwinyi angeweza kabisa kuivukisha Tanzania lakini anaonekana amekwama kwenye matope aliyoyawacha Mkapa na hawezi kujikwamua naona kuna haja ya Raisi kutoka Pemba lakini sio Shein.
Nani ndugu yako? Ni pamoja na hao unaowakashifu ki jumla jumla bila simile, tarakimu, takwimu, jedwali wala harufu ya uadilifu wa kisomi au ni wale wa bara tu?Wandugu
vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na ustawi wa jamii yetu.
Kumekuwa na kauli kuwa watu wa pwani ya bahari ya Hindi hapa Tanzania ni wavivu na blah blah nyingi. They are generalist and simplistic. Huridhika kwa vitu vidogovidogo tu. Kwa mfano wengi wao wako nyuma kimaendeleo na tumeona marais wote waliotoka pwani hiyo; Mwinyi, Mkapa na Kikwete performance yao kiuongozi mgogoro mtupu! Wakati mbara tena wa Musoma Nyerere alifanya mambo makubwa.
Mawazo yenu please objectively and for the better future of our country ,lovely Tanzania
naona kuna haja ya Raisi kutoka Pemba lakini sio Shein.
Wewe unamfahamu Nyerere lakini. Si ametoa matongo yake pale Dar. Na watu kama kina mama Bibi Titi walichangia kutoa tongo hizo. Lete mada ya maana Bwana, siyo porojo hizi. Mkapa amefanya kazi nzuri tu. hata Mwinyi amefanya vizuri tu. Na Jakaya atafanya vizuri kwa kadri ya wakati unavyoamuru. Time factor.Wandugu vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na ustawi wa jamii yetu.
Kumekuwa na kauli kuwa watu wa pwani ya bahari ya Hindi hapa Tanzania ni wavivu na blah blah nyingi. They are generalist and simplistic. Huridhika kwa vitu vidogovidogo tu. Kwa mfano wengi wao wako nyuma kimaendeleo na tumeona marais wote waliotoka pwani hiyo; Mwinyi, Mkapa na Kikwete performance yao kiuongozi mgogoro mtupu! Wakati mbara tena wa Musoma Nyerere alifanya mambo makubwa.
Mawazo yenu please objectively and for the better future of our country ,lovely Tanzania.
Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa ,kusema kweli anatia aibu Uislamu na kuonekana kuna udhaifu katika taaluma ya uongozi ,jambo ambalo sio kweli ni tabia na hulka zake mwenyewewe na zaidi kuonekana kutojiamini au kutojali dhamana ya uongozi aliyopewa na kuiona kama anawakilisha Uislamu hivyo kujitahidi kujenga sura nzuri ,lakini sivyo inaonekana anajenga sura ya ugoi goi ,kama anngechanganya tabia ya Nyerere na Mwinyi angeweza kabisa kuivukisha Tanzania lakini anaonekana amekwama kwenye matope aliyoyawacha Mkapa na hawezi kujikwamua naona kuna haja ya Raisi kutoka Pemba lakini sio Shein.
Bila ya kusitasita ,Nyerere alikuwa Mkristo alifanikiwa kuiweka nchi kwenye mstari heshima kwa watu wa dini zote zilikuwepo japo kulikuwa na manunguniko ya hapa na pale.
Akaingia Mwinyi ,yeye ni Muislamu halikadhalika Nchi ilikuwa imetulia hakuna mvutano ,na wengi waliweza kuona uongozaji wake ulikuwa ule wa fanya na nenda uwezako lakini usivunje sheria ,ilitokea watu wakamsifu kuwa mifuko ya wananchi ilikuwa inajaa vijisenti ,japo senenesenene hazikukosa.
Akaingia Mkapa yeye ni Mkristo .uongozaji wake ulikumbwa na ubabe na walevi wengi walikuwa wakipatiliza na ndipo matabaka yalipoanza kujitokeza na nchi kuuzwa kwa bei poa na kusababisha hata uhuru wa dini kuvurugika na kila mmoja kuona anagandamizwa.
Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa .