hii imekaa kimipasho sana ...mamabo ya kuwa rage hana mahusiano mazuri na benki yanatoka wapi..typical ze utamu thing...
......Yaani ni majungu tupu mara rage katapelo ze comedi,mara mh.mdee ni lesbian mara sijui nini.yaani nahisi kutapika
Mkuu Mvina tuko ukurasa mmoja.Unajua sometimes mi naona mpaka hii forum inapoteza maana.hatuwezi kukaa tunajadili mambo substantial na ya msingi kama ilivyokuwa zamani.yaani ni majungu tupu mara rage katapelo ze comedi,mara mh.mdee ni lesbian mara sijui nini.yaani nahisi kutapika
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni M/kiti wa jumuiya ya CCM ya wazazi mkoani Tabora alitapeli kiasi hicho cha fedha kwa kuingia mitini na kutokomea baada ya show hiyo katika ukumbi wa VOT Club (Rufita club) awali ilidaiwa kuwa bwana rage aliingia mkataba na Bwana yusuf Kitumbo ambaye ndiye aliye wadhamini Ze Comed na kuwalipa kiasi chao cha fedha, bwana Rage ambaye mawasiliano yake na Benki siku hizi si mazuri naye akamuomba bwana kitumbo ili aongee na Ze comed ili baada ya show ya mchana ze comed watumbuize kwenye club ya VOT , bwana rage hakuwa na kiasi cha fedha kama advance kwa ze comed hivyo kulazimika kuahidi kuwa mara baada ya show atalipa kiasi hicho cha fedha kwa bwana kitumbo ambaye ndiye mdhamini mkuu wa ze comed kwa Tabora tatizo lilikuja pale bwana Rage alipokusanya fedha na kuingia mitini! masweali ya kujiuliza kwa watu wa mji wa Tabora bwana Rage kwa madhaifu hayo ataweza kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora?
kumbe mpo wengi wambea wambea, hizi habari si mahali pakeAliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni M/kiti wa jumuiya ya CCM ya wazazi mkoani Tabora alitapeli kiasi hicho cha fedha kwa kuingia mitini na kutokomea baada ya show hiyo katika ukumbi wa VOT Club (Rufita club) awali ilidaiwa kuwa bwana rage aliingia mkataba na Bwana yusuf Kitumbo ambaye ndiye aliye wadhamini Ze Comed na kuwalipa kiasi chao cha fedha, bwana Rage ambaye mawasiliano yake na Benki siku hizi si mazuri naye akamuomba bwana kitumbo ili aongee na Ze comed ili baada ya show ya mchana ze comed watumbuize kwenye club ya VOT , bwana rage hakuwa na kiasi cha fedha kama advance kwa ze comed hivyo kulazimika kuahidi kuwa mara baada ya show atalipa kiasi hicho cha fedha kwa bwana kitumbo ambaye ndiye mdhamini mkuu wa ze comed kwa Tabora tatizo lilikuja pale bwana Rage alipokusanya fedha na kuingia mitini! masweali ya kujiuliza kwa watu wa mji wa Tabora bwana Rage kwa madhaifu hayo ataweza kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora?
huku ni kumdhalilisha mtu, age hawezi akakimbi tabora kwa deni la ze komedi, mimi ninachojua gharama za kupata ubunge ni zaidi ya m50, sasa mtu kama anafikia kutaka kugomea it means anazo pesa za campain
Please Magazeti ya Udaku hatuyataki humu, We need fact issues.Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni M/kiti wa jumuiya ya CCM ya wazazi mkoani Tabora alitapeli kiasi hicho cha fedha kwa kuingia mitini na kutokomea baada ya show hiyo katika ukumbi wa VOT Club (Rufita club) awali ilidaiwa kuwa bwana rage aliingia mkataba na Bwana yusuf Kitumbo ambaye ndiye aliye wadhamini Ze Comed na kuwalipa kiasi chao cha fedha, bwana Rage ambaye mawasiliano yake na Benki siku hizi si mazuri naye akamuomba bwana kitumbo ili aongee na Ze comed ili baada ya show ya mchana ze comed watumbuize kwenye club ya VOT , bwana rage hakuwa na kiasi cha fedha kama advance kwa ze comed hivyo kulazimika kuahidi kuwa mara baada ya show atalipa kiasi hicho cha fedha kwa bwana kitumbo ambaye ndiye mdhamini mkuu wa ze comed kwa Tabora tatizo lilikuja pale bwana Rage alipokusanya fedha na kuingia mitini! masweali ya kujiuliza kwa watu wa mji wa Tabora bwana Rage kwa madhaifu hayo ataweza kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora?
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni M/kiti wa jumuiya ya CCM ya wazazi mkoani Tabora alitapeli kiasi hicho cha fedha kwa kuingia mitini na kutokomea baada ya show hiyo katika ukumbi wa VOT Club (Rufita club) awali ilidaiwa kuwa bwana rage aliingia mkataba na Bwana yusuf Kitumbo ambaye ndiye aliye wadhamini Ze Comed na kuwalipa kiasi chao cha fedha, bwana Rage ambaye mawasiliano yake na Benki siku hizi si mazuri naye akamuomba bwana kitumbo ili aongee na Ze comed ili baada ya show ya mchana ze comed watumbuize kwenye club ya VOT , bwana rage hakuwa na kiasi cha fedha kama advance kwa ze comed hivyo kulazimika kuahidi kuwa mara baada ya show atalipa kiasi hicho cha fedha kwa bwana kitumbo ambaye ndiye mdhamini mkuu wa ze comed kwa Tabora tatizo lilikuja pale bwana Rage alipokusanya fedha na kuingia mitini! masweali ya kujiuliza kwa watu wa mji wa Tabora bwana Rage kwa madhaifu hayo ataweza kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora?[/QUOTE]
Nilijua hii story ingeishia hapo hapo kwenye ubunge, this is typical udaku next time upeleke kwenye magazeti ya udaku. Hatumchafui au kumkapenia mtu hapa. Leta hoja za maana