Acha kuandika majibu ya kike wewe...period kitu gani sasa....nimekwambia ukweli. Tena wewe unakiherehere sana member akijibu hivi mara umjibu oooh sijui fanya hivi kwani umetumwa? Nikibadilisha majina ni uamuzi wangu 🙂 Nilikwambia tu ukweli kwamba hata wewe huwa unaharibu vile vile...haya sasa, nenda kaseme kwa mods (only if you are NOT one of them!)...