Hi wana-JF?
Ninaomba ushauri wa jinsi ya kuibua au kuandaa project. Kwa sasa niko nje ya nchi, ila najipanga kuja kufanya chochote kwa nchi yangu. Kwa hiyo naomba idea ya kwamba ni jinc gani ya kuibua project na kuiandaa.. Project hiyo inatakiwa inufaishe jamii, pia nami ininufaishe kwa muda nitakaokuwa nimeutumia..... Think of any project..