Bado mwampandikia ***** ***** tu kila anakokwenda?Naimani safari hii baada ya adhabu ya UDSM, atafuata sheria na code of conduct!
Naimani safari hii baada ya adhabu ya UDSM, atafuata sheria na code of conduct!
Bado mwampandikia ***** ***** tu kila anakokwenda?
Hizi ni habari njema.Baadaye nitampigia simu kumpongeza.Am very happy for him.MUNGU hatumpi mja wake.
sasa hapo ndipo mnapokosea, wewe thibitisha UUNGU wa MUNGU wako, kwa Baregu wewe pia ni mpagan, kwani lazima Uabudu kwa Mungu wa mashariki ya kati ? yeye anaamini Mungu wake anaeishi kule Kagera , kwenye pango fulani, sasa wewe endelea na Kumtusi, kisha utashangaa Baregu anaenda kwa mola wake, na wewe unaulizwa, kwanini ulimtumikia Mungu wa mashariki ya kati, wakati kila taifa, kila mkoa, kila kijiji, kila kaya , inaMungu wake....Miungu yetu si ushenzi........mmepoto, mmepotosheka, mjiandalie jehanam, shauri yenu.Kwa taarifa yako Prof. Baregu haamini kama kuna MUNGU. He is totally a pagan. Hii inasikitisha sana. MUNGU amsaidie ili atambue ya kuwa yuko MUNGU aliyeziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake.
Hatimaye professor Mwesiga Baregu amesaini mkataba na chuo kikuu cha mtakatifu Augustino baada ya kuzuiliwa na serikali kufundisha chuo kikuu Dar. Habari za ajira yake zimethibitishwa na Mkuu wa idara ya Mawasiliano ya Umma wa SAUT Padri Dr. Joseph Matumaini kwenye gazeti la Tumaini letu toleo la Ijumaa, Feb. 19-25, 2010. Dr. Tumaini amesema kuwa ajira yake ni ya mkataba wa miaka mitatu na unaweza kupitiwa upya kila umalizikapo. Atakuwa anafundisha kampasi ya Dar es salaam na Mwanza. Natumai Prof. ataendeleza imani yake katika uhuru wa kitaaluma huko aliko na atakuwa kichocheo cha taaluma SAUT na ikizingatiwa kuwa SAUT kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania kuanza kutoa shahada za uzamili na uzamivu katika tasnia ya habari na mawasiliano ambako uhuru wa kutoa habari ni jambo la msingi sana. Namtakia mafanikio mema Prof. Baregu
sasa hapo ndipo mnapokosea, wewe thibitisha UUNGU wa MUNGU wako, kwa Baregu wewe pia ni mpagan, kwani lazima Uabudu kwa Mungu wa mashariki ya kati ? yeye anaamini Mungu wake anaeishi kule Kagera , kwenye pango fulani, sasa wewe endelea na Kumtusi, kisha utashangaa Baregu anaenda kwa mola wake, na wewe unaulizwa, kwanini ulimtumikia Mungu wa mashariki ya kati, wakati kila taifa, kila mkoa, kila kijiji, kila kaya , inaMungu wake....Miungu yetu si ushenzi........mmepoto, mmepotosheka, mjiandalie jehanam, shauri yenu.
Le'njobe dhana ya Mungu na UUNGU , inatofauti sana , kwa jamii moja na nyingine, Ubora wa Mungu unategemea wewe unaabudu nini, ushenzi kwenye Imani unalalia kwenye dhana ya huyu si wetu, ama mwenzetu. ila kwa ujumla wake, Muhindu akiwatazama Waislamu ama Wakristo anaona viumbe dhalili, visivyomjua Mungu wa kweli, dhana hiyo anayo Muislamu dhidi ya dini za wengine vilevile Kwa Wakristo wao wanawaona wengine kuwa wanaabudu Miungu ilhali imeandikwa ...."mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu wenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu...."Sijaona mahali panaposema Mungu hawapendi wapagani. Kwa taarifa tu, Mungu anahangaikia kuwapata wapagani kuliko wale alio nao tayari, kama konda anavyohangaika kuwaingiza abiria walioko nje ya daldala yake kuliko wale alio nao ndani tayari. Ukibisha mwombe konda akushushie kituo cha msaada kama hakuna abiria anayengojea gari hapo. Mwache Baregu apate kilicho chake, hakuna ajuaye Mungu anayo makusudi gani juu ya Baregu.
Hivi ni kweli? kama ni kweli, basi, usemi usemao, kusoma kwingi uondoa mahalifa, ni sahihiKwa taarifa yako Prof. Baregu haamini kama kuna MUNGU. He is totally a pagan. Hii inasikitisha sana. MUNGU amsaidie ili atambue ya kuwa yuko MUNGU aliyeziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake.
kipo anachokiamini, lakini haamnini katika Mungu wa aina ya Waislamu, Wakristo ama Wahindu....?Hivi ni kweli? kama ni kweli, basi, usemi usemao, kusoma kwingi uondoa mahalifa, ni sahihi
Hatimaye professor Mwesiga Baregu amesaini mkataba na chuo kikuu cha mtakatifu Augustino baada ya kuzuiliwa na serikali kufundisha chuo kikuu Dar. Habari za ajira yake zimethibitishwa na Mkuu wa idara ya Mawasiliano ya Umma wa SAUT Padri Dr. Joseph Matumaini kwenye gazeti la Tumaini letu toleo la Ijumaa, Feb. 19-25, 2010. Dr. Tumaini amesema kuwa ajira yake ni ya mkataba wa miaka mitatu na unaweza kupitiwa upya kila umalizikapo. Atakuwa anafundisha kampasi ya Dar es salaam na Mwanza. Natumai Prof. ataendeleza imani yake katika uhuru wa kitaaluma huko aliko na atakuwa kichocheo cha taaluma SAUT na ikizingatiwa kuwa SAUT kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania kuanza kutoa shahada za uzamili na uzamivu katika tasnia ya habari na mawasiliano ambako uhuru wa kutoa habari ni jambo la msingi sana. Namtakia mafanikio mema Prof. Baregu
a different opinion is good when there is one to be different from, or is it not?Wabongo bado tuna ukoko wa utamaduni wa kuona mtu aliyepata kazi "kaula"?
Utafikiri mtu kashinda bahati nasibu ya mabilioni!
Nafikiri subconsciously tunaona sehemu ya kazi ni sehemu ya "kula" na wala si ya kutumika. No wonder vita dhidi ya ufisadi ngumu, wananchi wenyewe wanategemea kila mtu "ale" sehemu ya kazi yake.
Unaweza kusema ni maneno tu, lakini Freud angekwambia maneno yana jinsi ya kufunua watu wanavyofikiri deep inside their heads.
Pathetic.