Oh no! This is so wrong....how can any human being with a heart and soul choose to do this?
bibi kizee said:very sad, thanks X-P kwa ujumbe huu, wenye macho na waone, wenye masikio na wasikie
''I felt a special bonding between you and me. Sometimes I heard you crying and I cried with you. Sometimes you would yell or scream, then cry. I heard Daddy yelling back. I was sad, and hoped you would be better soon. I wondered why you cried so much.''
so sorry, ila kwa ninavyofahamu wanawake matendo haya huwaliza katika maisha yao yote, na huu ni uamuzi mzito sana baada ya msuguano mkubwa wa nafsi, na ni hatua ya mwisho, sijui wanaume kama huwa wanakumbukumbu baada ya hapo?
hupenda kutembelea wodi za akina mama waliojifungua kupata maoni yao, inasikitisha haswa unapoongea na wasichana waliopata mimba bila kutarajia..to me nadhani wanaume wanachangia sana kukatisha maisha ya watoto hao,
KUBADILI TABIA NI NJIA PEKEE YA KUEPUKA HILI, kuacha uzinzi ni njia pekee ya kuokoa maisha ya watoto hawa, IF YOU REAL CARE, PLEASE STOP NOW!
MwanaFalsafa1 said:Dah this is very sad. May God keep those babies safe
Geoff said:LOL!nimetokwa na machozi
Degauche2008 said:Hii inauma sana. Mungu iko siku atawashughulikia wafanyao vitendo kama hivi?
Waleikum Salaam Ustadh,
Thread yenyewe ilifichwa kulingana na kua kuna members walio-complain kua kuna watoto wanakuja
humu jamvini na picha kama hizo zinawatishia... they were too graphic.
Samahani kwa kutokufahamisha kwani I'm the one who moved it.Please understand our position.
Regards
Kweli bro, wakati mwingine nashindwa kuelewa hao watoto wanao tetewa hapa, wakiomba tiketi ya kuingia majukwaa ya kijitu kizima huwa wanawachuja au wanawafahamu na kuwakatalia kuingia kule!?Kuna ujinga na upumbavu wa hali ya juu sana kwenye hii forum. That's all I got to say
Kaka labda ukisema wewe watakuelewa, maana chuzi lisha mwagiwa maji halina radha tena.Watoto kwanini watembelee JF bwana. Kama wazazi wao wanaona JF hapafai basi wasiwa ruhusu watoto wao kuingia. Sasa wanaona hizi picha ni graphic je watoto wakisign up halafu wakaanza kuchungulia kwenye jukwaa la wakubwa? Hao wazazi ndiyo wanabidi wacontrol watoto wao. Kama wanaona JF kuna pich hazifai wawaambie madogo waende website za cartoon network na Disney channel.
Hakika hata mimi nimetokwa na machozi. Inaumiza mno!LOL!nimetokwa na machozi
...maskini kina dada! wengine hufikia hatua ya kutoa mimba kwakuwa hawana matumaini tena ya maisha bila huyo bwana akliyeikataa mimba na familia yake inayomkataa.
Ni kina dada wachache wenye mioyo ya kuamua kujizalia mtoto bila ridhaa ya wazazi wala mwanaume aliyeikataa mimba... wanawake hao wanastahili pongezi nyingi kwa uamuzi huo mgumu na wa ki-utu.