Rais wao mwenyewe alifeli form four so usishangae!Tanzania majority wana low IQ chini ya 70 kwa hiyo sio rahisi kufanya critical thinking
Tanzania majority wana low IQ chini ya 70 kwa hiyo sio rahisi kufanya critical thinking
Ukitaka ujue watu hawana crticical thinking anzisha mada ya Iran vs Isarel uone. Watu hawachangii points wanaanza kutukanana.
Naunga mkono hoja, hutakiwi kuamini kila kitu unachoambiwa, ila kuna vingine, hata ukiambiwa, far the sake of piece and tranquility usiviamini!.mtu hawezi kuja kwangu na kuniambia "mkeo anachepuka" nikamwamini.
Hii inachangiwa kiimani zaidi ndio shida
Kwani dini ipo Tanzania pekee mkuu? Mbona nchi nyingine kwenye hii mada ya Israel na Iran wanachangia points bila kujali imani zao za kidini?. Hata Papa Leo huwa anawachana vizuri viongozi wakristo wakizinguaHii inachangiwa kiimani zaidi ndio shida
Kwani dini ipo Tanzania pekee mkuu? Mbona nchi nyingine kwenye hii mada ya Israel na Iran wanachangia points bila kujali imani zao za kidini?. Hata Papa Leo huwa anawachana vizuri viongozi wakristo wakizingua
Utani wa kufungana miaka minne huo.Rais wao mwenyewe alifeli form four so usishangae!
Umenikumbusha jambo fulani. Fr mmoja Mholanzi alikuwa anatusimlia kuhusu Imani ya uchawi inavyoenea kwa haraka. Yeye alifanya kazi huko Uganda na kwa vile waumini walikuwa wakidai kuna wachawi na wanaweza kutoa ushahidi, yeye aliona ajifunze. Basi akaanzisha utaratibu wa kufuatulia habari za uchawi. Alianza kwa kuuliza: "kuna mtu anaweza kuthibitisha habari hizi?" Mmoja akasema "ndiyo, ni kweli kabisa Fr." Akauliza "tunaweza kwenda kwa huyo mchawi?" Huyo mtu akasema "ndiyo." Fr akachukua gari, wakaenda, lakini wakiwa njiani, yule akasema, "lakini Fr mimi sijamwona, ila niliambiwa na mtu X." "Tunaweza kwenda kwa mtu X"? Akajibu "kabisa Fr." Wakiwa bado wanakwenda,bhuyo mtu akabidili gia tena, kwamba na yeye alisikia tu kwa mtu mwingine. Hivyo, haya kwangu, kusema "watu wanasema" huwa haina maana yoyote, kwani unakuta ni mtu mmoja kasema, lakini ili humwamini akikupa taarifa atasema "watu wanasema" ili ajifiche kwenye idadi na si kwenye ukweli wa jambo. Mwalimu wangu wa logic alikuwa anatwambia "if one person can err even a thousand people can err." Kwa hiyo, mtu asije kwangu na kauli "watu wanasema" au "mkeo anachepuka".Naunga mkono hoja, hutakiwi kuamini kila kitu unachoambiwa, ila kuna vingine, hata ukiambiwa, far the sake of piece and tranquility usiviamini!.
Mimi ni Mkatoliki wale tulioendelea endelea kama Sir George Kahama, nikiwa DC kwenye party ya ubalozi wa Tanzania, kuna mbongo akanifuata na kuniambia wife wako hapa anachepuka na mtu anyechepuka nae tuko naye hapa kwenye hii party, nikuonyeshe?.
Kwanza nilimuuliza ananiambia hivyo ili iweje?, nilimshukuru kwa taarifa, nikamwambia asante sihitaji kumjua wala kuyajua hayo!.
Akatoka na kuwaambia watu kuwa mimi nimelogwa vibaya!.
P