Mfano mzuri ni huu hapa, mama yangu yuko kijijini na amehaidi kumpigia Dr.Slaa kura, wadogo zangu na kaka zangu bila kumsahau baba yangu ambaye alikuwa anasema hawezi kupiga kura lakini baada ya kuongea naye kwa simu sasa ni mfuasi mzuri sana wa Dr. SlaaKuna Watu wamekuwa wanajaribu kuufananisha Uchaguzi wa 2010 na ule wa mwaka 1995, wamekuwa wakijaribu kulinganisha Umaarufu alionao nao Dr. Slaa na Umaarufu aliokuwa nao Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa anagombea Urais Kupitia NCCR-Mageuzi. Watu hao wanadiriki kutumia ufanano wa Umaarufu huo hata kujaribu kutabiri eti Dr. Slaa ataanguka kama alivyoanguka Mrema 1995.
Watu hao wamejivika upofu wa Kufananisha watu hao wawili huku wakikwepa ama kwa makusudi ama kwa kutojua Tofauti ya Kimazingira kati ya Mwaka 1995 na mwaka 2010
Kuna mambo ambayo inabidi yaangaliwe kabla ya kufananisha hali ilivyokuwa 1995 na 2010
Mwaka 1995 technolojia ya habari haikuwa imeenea sana kama 2010, Sasa hivi karibu kila Mzazi kijijini mwenye mtoto Mjini anatumia simu ya Mkononi. Nimekuwa nikifuatailia kura za mtandaoni ambazo zimekuwa zikimpa Ushindi mkubwa Dr. Slaa dhidi ya Wapinzani wake.
Japokuwa Baadhi ya Watu wamekuwa wakiziponda polls hizi ila kwa mtu makini hawezi kuzipuuzia hata kidogo na hata Wapinzani wa Dr. Slaa hawawezi kuzipuuzia hata kidogo kwa sababu wanatambua ni Ujumbe gani unaotolewa
Baadhi ya Watu wanaweza kuja hapa na kutoa Hoja kwamba ni Watanzania wangapi wana access na internet? Watanzania Wangapi wanajua JF? Hizi ni Hoja Mfu zinazofanana na Mgombea mmoja wa Urais aliyena kwamba kura 350000 ni ndogo sana kwake bila kuangalia ni watu wangapi wako nyuma ya hao watu 350,000
Ndugu wana JF wapenda Mabadiliko leo nina Ujumbe Muhimu sana kwenu
Wanaweza kutubeza kwa Uchache wetu, wanaweza kutubeza eti hatupigi kura, Wanaweza kutubeza eti kwamba sisi ni watu wa kulalamika kwenye Mitandao, wanaweza kutubeza kwamba tunaota ndoto za mchana
Lakini Ukweli ni Kwamba
Sisi wana JF tuna Wazazi, tuna Wadogo zetu na kaka Zetu na hata Ndugu zetu wale wanaobezwa kwa kukosa huduma hii ya Mtandao, Lakini ndugu zetu hawa asilimia kubwa wana Simu za Mikononi
Sasa Wana JF wote wapenda mabadiliko, wataopiga kura na ambao hawatapiga kura kwa sababu yeyote Nyanyua Simu yako Mpigie Shangazi yako, mama yako, bibi yako, babu yako, kaka yako dada yako, mjomba wako Mwambie tunahitaji mabadiliko.
PAMOJA NA UCHACHE WETU TWAWEZA KULETA MABADILIKO, PLAY YOUR PART
NyU
Kuna Watu wamekuwa wanajaribu kuufananisha Uchaguzi wa 2010 na ule wa mwaka 1995, wamekuwa wakijaribu kulinganisha Umaarufu alionao nao Dr. Slaa na Umaarufu aliokuwa nao Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa anagombea Urais Kupitia NCCR-Mageuzi. Watu hao wanadiriki kutumia ufanano wa Umaarufu huo hata kujaribu kutabiri eti Dr. Slaa ataanguka kama alivyoanguka Mrema 1995.

mimi nina kaka wa 2= watampigia slaa
baba na mama= watampigia slaa
wadogo zangu 2= watampigia slaa
Mimi mwenyewe slaa
ofisini kwangu kuna watu saba, wote wanataka mabadiliko, wamechoka maisha ni magumu, na watampigia slaa
kwahiyo nauakika kura hizi zote = 2+2+2+1+7=14, ni ZA SLAA
Hao , wanaodharau kura za maoni za JF, waendelee, october 31, usiku baada matokeo kuanza kutangazwa, watapigwa na bumbuwazi.
aisee mwanangu msomi umeleta hoja ya msingi sana, mimi nilianza kutumia simu kwa kampeni toka 2005 kwa mbowe na hivyo nitaendelea mpaka kieleweke, wapo watakaobeza, puuza, shangaa na wengine watashtuka. cha msingi message sentLeo nietoka kuongea na mama mdogo hakuwa na mpango wa kupiga kura eti kisa kachoshwa na CCM, nikamwambia kama amechoshwa na CCM dawa si kuzira kupiga kura bali ni kupigia chama kingine kura, kwa kweli amenielewa akatoa kauli hii " Kama wewe mwanangu msomi unaniambia Nimpigie kura Slaa nitafanya hivyo"
Jamani kama Marekani walivyo na influence kwa marais wa nchi maskini...sisi pia tulio mijini/wafanyakazi tuna influence kwa ndugu zetu huko vijijini,kama kila mtu ambaye ameyakubali mabadiliko akipiga kampeni na kuhakikisha anapata watu kumi wa kukipigia CHADEMA basi ushindi ni dhahiri.
Kuna Watu wamekuwa wanajaribu kuufananisha Uchaguzi wa 2010 na ule wa mwaka 1995, wamekuwa wakijaribu kulinganisha Umaarufu alionao nao Dr. Slaa na Umaarufu aliokuwa nao Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa anagombea Urais Kupitia NCCR-Mageuzi. Watu hao wanadiriki kutumia ufanano wa Umaarufu huo hata kujaribu kutabiri eti Dr. Slaa ataanguka kama alivyoanguka Mrema 1995.
Watu hao wamejivika upofu wa Kufananisha watu hao wawili huku wakikwepa ama kwa makusudi ama kwa kutojua Tofauti ya Kimazingira kati ya Mwaka 1995 na mwaka 2010
Kuna mambo ambayo inabidi yaangaliwe kabla ya kufananisha hali ilivyokuwa 1995 na 2010
Mwaka 1995 technolojia ya habari haikuwa imeenea sana kama 2010, Sasa hivi karibu kila Mzazi kijijini mwenye mtoto Mjini anatumia simu ya Mkononi. Nimekuwa nikifuatailia kura za mtandaoni ambazo zimekuwa zikimpa Ushindi mkubwa Dr. Slaa dhidi ya Wapinzani wake.
Japokuwa Baadhi ya Watu wamekuwa wakiziponda polls hizi ila kwa mtu makini hawezi kuzipuuzia hata kidogo na hata Wapinzani wa Dr. Slaa hawawezi kuzipuuzia hata kidogo kwa sababu wanatambua ni Ujumbe gani unaotolewa
Baadhi ya Watu wanaweza kuja hapa na kutoa Hoja kwamba ni Watanzania wangapi wana access na internet? Watanzania Wangapi wanajua JF? Hizi ni Hoja Mfu zinazofanana na Mgombea mmoja wa Urais aliyena kwamba kura 350000 ni ndogo sana kwake bila kuangalia ni watu wangapi wako nyuma ya hao watu 350,000
Ndugu wana JF wapenda Mabadiliko leo nina Ujumbe Muhimu sana kwenu
Wanaweza kutubeza kwa Uchache wetu, wanaweza kutubeza eti hatupigi kura, Wanaweza kutubeza eti kwamba sisi ni watu wa kulalamika kwenye Mitandao, wanaweza kutubeza kwamba tunaota ndoto za mchana
Lakini Ukweli ni Kwamba
Sisi wana JF tuna Wazazi, tuna Wadogo zetu na kaka Zetu na hata Ndugu zetu wale wanaobezwa kwa kukosa huduma hii ya Mtandao, Lakini ndugu zetu hawa asilimia kubwa wana Simu za Mikononi
Sasa Wana JF wote wapenda mabadiliko, wataopiga kura na ambao hawatapiga kura kwa sababu yeyote Nyanyua Simu yako Mpigie Shangazi yako, mama yako, bibi yako, babu yako, kaka yako dada yako, mjomba wako Mwambie tunahitaji mabadiliko.
PAMOJA NA UCHACHE WETU TWAWEZA KULETA MABADILIKO, PLAY YOUR PART
NyU
Hii kitu imekuja kwa wakati wake. Mimi na rafiki yangu mmoja tulishagundua hili na tumelitumia ipasavyo. Kwa wale wanaotumia Zain kuna huduma ya bure ya sms 100 kila siku usiku baada ya saa 6 kamili.
Tumia nafasi hiyo usilale. Tuma message kwa watu 100 unaowafahamu na kuwakumbusha kwamba nchi inaelekea katika mabadiliko makubwa na haya mabadiliko yatakuja kwa kumuingiza ikulu ya Tanzania Dr Slaa.
Hii ni kampeni ya aina yake ambayo haihitaji mbango makubwa wala kibali cha polisi. Nimeitumia kwa mafanikio makubwa.
Mimi nina kanuni ninayoitumia na kuwashawishi wengine kuitumia. Kila mtu aliye nyuma ya mageuzi ya nchi yetu ahakikishe anashawishi watu 25 kupigia kura Dr Slaa. Namna hiyo tutashinda.
Kama huna line ya Zain basi ni wakati wa kuinunua kwa makusudi tu upate kupiga kampeni kirahisi. Ni wakati wa mbadiliko na twahitaji kutumia kila njia kufanikiwa. Pamoja tutashinda.
CHAGUA DR SLAA CHAGUA CHADEMA CHAGUA MABADILIKO CHAGUA MAENDELEO YA TANZANIA.