Nimeshangaa sana. ITV imeonesha Mh. Rais anatoa maelekezo na ufafanuzi muhimu kwa Baraza la Mawaziri & Manaibu wao HUKU BAADHI YAO WANAONEKANA HAWANA HABARI KABISA (NOT PAYING ATTENTION AT ALL) NA WENGINE WAKIANZISHA MIJADALA YAO PEMBENI NA MAJIRANI ZAO VITINI.
AMA
ITV wametoa picha mbaya (poor Video production) ya kuunga picha ambayo Rais anatoa maelekezo wakati picha ya Mawaziri ni ya wakati mwingine pengine wakiwa wanapumzika na kunywa.
AU
Baadhi ya Mawaziri wamejisahau na kuleta mazoea hata katika vikao muhimu vilivyoitishwa na mkuu aliyewateua na kuwaapisha mbele ya Watanzania.
N.B Endeleeni kuangalia ITV nadhani watairudia unless waitoe au wairekebishe na nitakuja juu wakiirekebisha bila kuomba msamaha kwa usumbufu waliousababisha!
duh!!!!Nimeshangaa sana. ITV imeonesha Mh. Rais anatoa maelekezo na ufafanuzi muhimu kwa Baraza la Mawaziri & Manaibu wao HUKU BAADHI YAO WANAONEKANA HAWANA HABARI KABISA (NOT PAYING ATTENTION AT ALL) NA WENGINE WAKIANZISHA MIJADALA YAO PEMBENI NA MAJIRANI ZAO VITINI.
AMA
ITV wametoa picha mbaya (poor Video production) ya kuunga picha ambayo Rais anatoa maelekezo wakati picha ya Mawaziri ni ya wakati mwingine pengine wakiwa wanapumzika na kunywa.
AU
Baadhi ya Mawaziri wamejisahau na kuleta mazoea hata katika vikao muhimu vilivyoitishwa na mkuu aliyewateua na kuwaapisha mbele ya Watanzania.
N.B Endeleeni kuangalia ITV nadhani watairudia unless waitoe au wairekebishe na nitakuja juu wakiirekebisha bila kuomba msamaha kwa usumbufu waliousababisha!
hahahahaaaa! kumbeee!!duh!!!!
kumbe siyo slaa pekee, hata wateule wake hawamkubali!!! lol
Poa tu, mkuu sasa wewe ulitaka ITV wachakachue? Tatizo sio la ITV au rais aliyekuwa akiongea.
duh!!!!