Lakini si lazima umfahamu vizuri mtu kingi..unatamka tu kwa sababu there is that feeling! I need to know her better kwani mimi naamini kuwa;"It takes more than love to be together."Kama hukumwambia hisia zako ulitegemea azitambue yeye? Ulifanya kosa. Labda alikupenda akisubiri uchukue jukumu la kumtamkia. Labda nae moyo unamuuma kwamba hukumpenda. Haijalishi kama yuko kwenye mahusiano, isipokuwa kama wameshafunga ndoa. Waweza ona hali yake kama wanapendana kweli maana mnaonana. Mweleze hisia zako labda anasubiri kwani huko aliko labda kajishikiza tu. Nxt time dont wait a woman to tell you everything. She wont and you will end up in pain again
Lakini si lazima umfahamu vizuri mtu kingi..unatamka tu kwa sababu there is that feeling! I need to know her better kwani mimi naamini kuwa;"It takes more than love to be together."
Red: Kwani ukimpenda mtu solution ni kutafuta mwingine ama kusubiri ikiwezekana kuonyesha ile ya kichokozi flani!!!???
Blue: I might be biased...!!!
Pink: Nitamweleza lakini inaniuma kiasi and somehow i doubt kama kweli ni yeye ama ni kwa sababu sijakutana na mwingine!! unajua wakati bado nipo chuo na yeye wana hang out na huyu kijana...walikuwa wanakiss, hugs...sometimes hata ninaweza kuwaona...!!!sasa hivi sijui how much more wamefanya..is she really worth it!??[/QUOTE]
In my opinion you're the only one who can answer this question accurately...but it seems you are in love with her.
give me her number.. I'll help you out..
Mmh Kingi...ts easily said than done!!!That's y nikakuambia put urself in my shoes...Man, unampenda lakini unamwogopa. Mbona unataka ushauri kwa jambo ambalo huko tayari? Kama unadhani unampenda mjulishe. Kissing and doing it is not an issue
Theodora, patience si baada ya kumwambia!ts practiced b4...when you want to get to know a person kabla uropoke tu unampenda! Sikutaka kumwambia nampenda halafu baadaye baada ya kumfahamu vizuri nianze kujutia....Nikavuta subra, huku nikiendelea kumfahamu zaidi! (Plus masomo yalichangia, and my position by the time I was in college!)Patience is a virtue, lkn ya kwako ni tofauti. You have infact not told her your feelings, so what patience are we referring to. I would suggest you do that and only 2 things can happen. Anaweza kuwa na same feelings au hapana. But its such a good feeling kujua unapostand.... na hapo unaweza kumove on. If she comes back to you it was meant to be if not, wish her well with whomever she is with. Yaani Let her go and be happy.
so be real to mwanakijiji. he might talk to herMmh Kingi...ts easily said than done!!!That's y nikakuambia put urself in my shoes...
U don't have to say it to mean it!!!!Kwanza, kabla sijacomment chochote, unaukumbuka ule wimbo unaosema ....subira yangu ndio ilonipooooonza....ngoja ngoja naonekana ZOBA ...kwasababu nilimpenda kweeeeeli. unaujua eee. OK,ila mimi sijasema we zoba.
Ushauri; sina shaka unampenda nae anakupenda, basi kwa kasi ya ajabu ikwezekana wiki hilil hili KAMVALISHE PETE YA UCHUMBA.Akikataa achana nae futa kichwani mwako kwani hapo ujue una GALASA (zile karata.mbovu..)huna rafikiAkikubali unajiandaa,kumuoa.
Mkuu..huh!give me her number.. I'll help you out..
Preta, naweza sema ninamfahamu na mimi niko tayari kumuambia anytime we meet. (Kwa sasa tuko mbali kiasi...bado ndo anamalizia chuo).we mwambie ukweli jinsi unavyojisikia juu yake...ni ngumu sana kwa mwanamke kukutamkia kuwa anakupenda kama ni wa kitanzania ni wachache wenye moyo huo...na pia miaka mitatu bado tu hujamfahamu vizuri?