Mtumikie Kafiri Upate Mradi Wako!Jamani nimejaribu kulizuia lakini fupa limenishinda kukaa mdomoni kwani kuendelea kuwa nalo linaweza kunikwama hivyo nahitaji ufafanuzi juu ya methali maarufu ya kuswahili isemayo 'KAFIRI AKUFAAE SI MUISLAM HASIYEKUFAA'.Kutokana na maudhui ya methali hii yaonyesha wazi kuwa kuna makundi mawili tuu ya kiimani yaani 'Makafiri na Waislam'.Swali langu kama hivyo ni kweli je sisi 'raia wa roma'(roman catholics),angalicans,lutherans,full gospal fellowships,pentecostes,n.k tutakuwa upande gani kati ya hizo imani mbili?
Naomba wachangie watu wenye upeo wa mambo tuu na si kila asomae kwani kusoma sana si kuelimika!
Jamani nimejaribu kulizuia lakini fupa limenishinda kukaa mdomoni kwani kuendelea kuwa nalo linaweza kunikwama hivyo nahitaji ufafanuzi juu ya methali maarufu ya kuswahili isemayo 'KAFIRI AKUFAAE SI MUISLAM HASIYEKUFAA'.Kutokana na maudhui ya methali hii yaonyesha wazi kuwa kuna makundi mawili tuu ya kiimani yaani 'Makafiri na Waislam'.Swali langu kama hivyo ni kweli je sisi 'raia wa roma'(roman catholics),angalicans,lutherans,full gospal fellowships,pentecostes,n.k tutakuwa upande gani kati ya hizo imani mbili?
Naomba wachangie watu wenye upeo wa mambo tuu na si kila asomae kwani kusoma sana si kuelimika!
Dini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ISLAM. Hapa tukiangalia dini zote ispokuwa uislamu Tutagundua majina ya dini hizo ama ni jina la muanzilishi wa dini hiyo au ni jina la eneo ilipoanzishwa dini hiyo. Tofautina uislamu, neno Uislamu maana yake ni Amani au kujisalimisha kwa yule aliye kuumba, dini ya uislamu ni dini ya watu wote wenye kutaka amani, sio dini ya watu fulani au taifa fulani ndio mana jina lake halifungamani na taifa lolote au jam¨¬i yoyote. Tofauti na dini nyengine! Kama KRISTO hili ni jina la mtu, jewish hili ni jina la eneo "judeya" israil, BUDA Hili ni jina la mtu, na nyengine zote ziko hivyo ni dini zilizo buniwa na watu ndio maana wakazipa majina yao au maeneo yao. Lau UISLAMU ungulikuwa umebuniwa na MUHAMMAD bila shaka angeliupa jina lake au eneo analotoka. Bilashaka yoyote UISLAMU ni dini inayotoka kwa Mungu wa kweli, na haiwezekani kukawa na Mungu zaidi ya mmoja. Kwa hiyo kuna watu wanawaabudu binadamu wenzao. Njia ni mbili tu! "Kweli na uongo", uislamu na ukafiri. njia ni mbili hakuna ya tatu
'KAFIRI AKUFAAE SI MUISLAM ASIYEKUFAA'
Uislamu ndiyo dini ya kweli? Siamini! Dini ya kweli utaitambua kwa matunda yakeDini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ISLAM. Hapa tukiangalia dini zote ispokuwa uislamu Tutagundua majina ya dini hizo ama ni jina la muanzilishi wa dini hiyo au ni jina la eneo ilipoanzishwa dini hiyo. Tofautina uislamu, neno Uislamu maana yake ni Amani au kujisalimisha kwa yule aliye kuumba, dini ya uislamu ni dini ya watu wote wenye kutaka amani, sio dini ya watu fulani au taifa fulani ndio mana jina lake halifungamani na taifa lolote au jam¨¬i yoyote. Tofauti na dini nyengine! Kama KRISTO hili ni jina la mtu, jewish hili ni jina la eneo "judeya" israil, BUDA Hili ni jina la mtu, na nyengine zote ziko hivyo ni dini zilizo buniwa na watu ndio maana wakazipa majina yao au maeneo yao. Lau UISLAMU ungulikuwa umebuniwa na MUHAMMAD bila shaka angeliupa jina lake au eneo analotoka. Bilashaka yoyote UISLAMU ni dini inayotoka kwa Mungu wa kweli, na haiwezekani kukawa na Mungu zaidi ya mmoja. Kwa hiyo kuna watu wanawaabudu binadamu wenzao. Njia ni mbili tu! "Kweli na uongo", uislamu na ukafiri. njia ni mbili hakuna ya tatu
Uislamu ndiyo dini ya kweli? Siamini! Dini ya kweli utaitambua kwa matunda yake
mzee jua tafauti kati ya binaadamu a mnyama ni akili. Mnyama hatahukumiwa kwani hana akili. lkn binaadamu atahukumiwa akitumia vibaya akili yake. kwa hivyo unachotakiwa sasa ni kusoma kiundani Dini mbili hizi sio kwa mtazamo wa jujuu tu. soma viatabu vya diini hizi mbili na utapata jibu sahihi kiudhati kabisa1. Nimeshtushwa na neno "Dini ya Kweli" kwa sababu hatuna viashilia vya kuthibitisha ukweli wa dini yo yote hasa kutokana na zote kumtaja Mungu.
2. Naambatanisha URL za kupambanua maana ya uislam na ukristo kutoka kwenye mtandao ambazo naziona zina mantiki
http://www.barghouti.com/islam/meaning.html
http://www.mb-soft.com/believe/txh/chrisdef.htm
3. 'KAFIRI AKUFAAE SI MUISLAM ASIYEKUFAA' ni usemi binafsi naona una mantiki ukiondoa mnyumbulisho wa Kafiri na Muislamu maana inayojitokeza ni Akufaaye ni bora hata kama ana imani ya dini tofauti na yako.
4. Usemi kwangu unasisitiza kuwa jamii bila kujali dini zao ina wajibu wa kutendeana mema wakati wote