Unankumbusha stori ambako father na sista walikuwa safarini gari ikaharibika wakabidi kwenda kulala nyumba ya wageni,wakakuta nyumba zimejaa isipokuwa chumba kimoja. Wakaamua kwa kujiamini kulala chumba kimoja ila walinde Agano la Useja. Usiku padre akachukua mto na kuuweka kati ili uwatenganishe kitandani. Ilipofika asubuhi wakachelewa kuamka wakakuta mlinzi alishafunga geti la guest house. Padre akamwambia, sista nishikie mkoba niruke ukuta nkamshtue mlinzi aje afungue tuchukue gari. Sista akamwambia: Thubutuuuh! Umeshindwa kuruka mto usiku kitandani,utaweza kuruka ukuta?
sasa wakiwa njiani padre si akijifanya mafuta yameisha akamwambia sista tuombe wakaomba wakaomba wakaomba baadae akamwambia sista nimefunuliwa niende kukojoa kwenye tank la mafuta akaenda kwenye kifuniko cha mafuta akajifanya anakojoa kwenye tank na baadae akaja akawasha kari likawaka kumbe mafuta yalikuwa hayajaisha wala nini wakamshukuru mungu na wakaendela na safari baada ya mwendo mfupi padre akajifanya mafuta yameisha tena padre akamwambia sista tuombe tena pengine tukapewa njia tofauti wakakata maombi akamwambia sista nimefunuliwa nikakojoe tena kwenye tank la mafuta ila kwasasa sina mkojo sista kama wewe una mkojo nenda ukakojoe kwenye tank sista kwenda kwenye kifuniko cha tank si akashindwa kukojolea kwenye hicho kifuniko ili mafuta yaingie kwenye tank akarudi akamwambia padre nimeshindwa kukojolea kwenye kale katundu cha mfuniko padre akamwambia njoo nivute na huu m rija wangu halafu nitaupeleka huo mkojo wako kwenye tank maana kwa jinsi ya viungo vyangu mimi ni rahisi kuingiza mkojo kwenye kale katundu cha tank sista si akakubali maana alishaona miujiza ya gari kutenmbea kwa kutumia mkojo hivyo akajua kwamba padre na hilo atakuwa amepewa maona. padre akamvuta sista mkojoo weeee na baada ya hapo akajifanya tena kwenda kukojolea kwenye kale katundu cha tank la mafuta ya gari na baada ya hapo gari ikawaka wakaendelea na safari walipoenda kilimeta chache sista akamwambia padre kama unataka kuongeza tena mkojo kwenye gari niambia maana nahisi mkojo unaweza kunivuta nahuo mrija wako tena tuongeze ili tuwe na uhakika kwamba sasa hatutaishiwa tena mafuta . duh hapo padre akawa ameuwa ndegu wawili kwa jiwe moja sasa ikawa ndio mchezo wa padre kumwomba sista mkojo na sista akisikia mkojo anampelekea padre ili waongeze kwenye gari[/QUOT
ha!ha!ha!