DUBAI (AlArabiya.net)
A 50-year-old Saudi woman asked for divorce after her husband lifted her face veil while she was sleeping, local press reported.
For 30 years, the wife said she never showed her face to her husband in conformity with the tradition of her native village near the south western Saudi city of Khamis Mushayt.
"After all these years, he tries to commit such a big mistake," the wife told Saudi newspaper Al-Riyadh, after she left the house in total disbelief.
She said the husband apologized and promised never to do it again.
This is not the first case of husbands who have not seen their wives' faces in decades.
When asked how she could have kids without her husband ever seeing her face, she replied: "Marriage is about love, not faces"
uzushi huo..hamna kitu kama hicho
source; http://freerepublic.com/focus/f-news/2018477/posts
...'mgosi' ndio hivyo mkuu, mila na desturi!...kama siye wazaramo na mila na desturi zetu tukishauza mpunga huko kisele ni ngoma tu na kuoa, au wamasai na kusimika mkuki mlangoni kwa 'mke wa ngugu yake', au kina nanihii na ile desturi yao ya kumrithi mke wa kaka akifa (hata kama na HIV)...!
duniani kuna mambo!
I agree, what matter the most is downstairs and not upstairs! tena kama mwanamke mwenyewe ana nyago bovu ndio kabisaaa! Si wengine njaa zikituzidi tukiokota ngoma mbovu huwa tunazifunika na posters za kina Jessica Alba na Britney!

So long humuoni na ushungi wake 'akikung'ong'a' ukiwa nae faragha poa tu!
marriage is about love not faces; 'Ukiingia deep' huyu mwanamama anaongea sense, physical appearance ya mtu inabadilika! hiyo tradition ya huko inamfanya mwanaume anaishi kwenye...'fantasy' world, hivyo labda kutamani nje inabakia nadra kuliko sie tunaoishi kwenye reality ya mkeo kukununia!!!
I agree, what matter the most is downstairs and not upstairs! tena kama mwanamke mwenyewe ana nyago bovu ndio kabisaaa! Si wengine njaa zikituzidi tukiokota ngoma mbovu huwa tunazifunika na posters za kina Jessica Alba na Britney!
Inachekesha sana aisee!Duniani kuna mambo, mkasa huo;
...yaani miaka thelathini unakula penzi nyuma ya pazia? aaah, mila na desturi nyingine bana bora nimezaliwa 'mmatumbi!'
Inachekesha sana aisee!
Nataka madogo wa kizazi kipya wajue wakongwe tulipotokea.........haikuwa na kutafuna mama mkwe wala kutafuta wachumba au kuwekewa ma-love bites kwenye makalio.Ebana imekuwaje hadi umezama machimbo na kuifukua hii mada?
Nataka madogo wa kizazi kipya wajue wakongwe tulipotokea.........haikuwa na kutafuna mama mkwe wala kutafuta wachumba au kuwekewa ma-love bites kwenye makalio.
Hahahaha.......... kuna mwingine kule anataka magelofrendzi tuuuu basi!babu mambo mengi ya dot com ni upuuzi mtupu sijui hata kama wanaelewa.