MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Unatutega wewe
Mara nyingi nimeshasikia watu wakishangaa kwa bwana fulani kutembea (sex) nje ya ndoa yake na mwanamke ambaye pengine havutii kihiiiivyo kama mkewe wa ndoa. Au mwanamke kutembea na kijibwana ambacho hakina A wala B compared na Mr wake.
Na mara nyingi wote ukiwauliza wanatoa sababu nzuri tu za kuwafanya wao wakubaliwe huo udhaifu wao. Utasikia mume akidai kuwa the woman -anajua mapenzi, ananifanya nijisikie mwanaume, has more time for me, ananiheshimu e.t.c.
Na mke akiulizwa vipi mbona unatembea na kibarua wenu atajibu either Ananifanya nijisikie vizuri, ananifanya nijisikie wa maana, anajua pa kunigusa n.k
Na wakati mwingine tunaambiwa kuwa nyumba ndogo zina ufahamu wa hali ya juu kuhusu kile ambacho tunakikosa majumbani mwetu kwa wenzi wetu so tunakimbilia kwao ili tuvipate either kama ni feelings /hisia ambazo sisi kama wanandoa hukosa kwa wenzi wetu na kuamua kwenda kutafuta sehemu kwao.
Sijui lakini hawa watu tunaotembea nao nje ya ndoa (nyumba ndogo, ving'asti e.t.c) wanaonekana wako smart sana kujua tunachokikosa ndani ya ndoa zetu.
Swali langu ni je wanajuaje kuwa tunamiss hiki na kile katika ndoa zetu? Tunawaambia wenyewe au?

kama umeshamwambia mke na hajaonesha dalili za kubadilika au kukuelewa unadhani nini hutokea? ni kumtafuta msaidizi wake ili uendelee kumpenda mkeo au la utamchukia moja kwa moja.Msanii natega vipi? mie nashindwa kuelewa mpaka umrate nyumba ndogo aas better in fulfilling your love desire ina maana mkeo hujamwambia kuwa akikufanyia hivi vile unaridhika?
Iweje nyumba ndogo ajue your weak point na mkeo asijue? au wanatumia uchawi?
kama umeshamwambia mke na hajaonesha dalili za kubadilika au kukuelewa unadhani nini hutokea? ni kumtafuta msaidizi wake ili uendelee kumpenda mkeo au la utamchukia moja kwa moja.
Raha ya nyumba ndogo ni kwamba inajituma ipasavyo maana inakula kwa jasho lake. Halafu kwenye nyumba ndogo hata ukitaka kujiexpress yourself unapita bila kupingwa
teh teh tehjamani hii si slogan ya tigo hiyo niliyoihighlight hapo juu.!!!? mizee ya NSSF utaijua tu bila kuchafua kiv*zi haisikii raha.
Mara nyingi nimeshasikia watu wakishangaa kwa bwana fulani kutembea (sex) nje ya ndoa yake na mwanamke ambaye pengine havutii kihiiiivyo kama mkewe wa ndoa. Au mwanamke kutembea na kijibwana ambacho hakina A wala B compared na Mr wake.
Na mara nyingi wote ukiwauliza wanatoa sababu nzuri tu za kuwafanya wao wakubaliwe huo udhaifu wao...
ahahahahahahahahahaha, nimepakumbuka sana mwananyamala. kule NSSF kila mtaa mpaka mvua hazinyeshi kule. watoto wanajua kuchafua kidesh-desh ile mbaya.teh teh teh
karibu one the world mkuu
Msanii natega vipi? mie nashindwa kuelewa mpaka umrate nyumba ndogo aas better in fulfilling your love desire ina maana mkeo hujamwambia kuwa akikufanyia hivi vile unaridhika?