Kwa sababu wewe priority yako siyo maendeleo ya Taifa letu, ndio maana hata kama unaona mafyongo yanayofanywa na serikali ya CCM utaendelea kuwachagua tuu!..sijui nani unataka akuunge mkono kwa hilo!Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho bila kujali mauawaji
ya watu 27 yaliyofanywa...nimeona ni bora niendelee kumpa huyu
kikwete aata kama ameiba ni bora tumpe yule ambae ameshakula kuliko hawa mafisadi wa siasa wanaoendaa kuanza kuiba,..unajua ukishaiba na ukapata tena uwezi iba kama mwanzoni na ni bora umpe yule alieanza kula kuliko hawa wenye njaa zao na kuamua kuwa wasemaji wa chama tawala kwa njaa zao
embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......
Mama nitakuwa wa mwisho kukuunga mkono hata kama niko mbali na uwezekano wa kurudi huko nyumbani wakati wa kupiga kura ni mdogo bado naendelea kusema hawa jamaa wa utawalani hawana lolote jipya na nitaendelea kuwapinga kwa nguvu zote. Tatizo la hawa wapinzani wengi wao bado ni wanachama wa ccm kwa siri kama huamini nambie kama ulishawaki kusikia kuwa mrema alirudisha kadi ya ccm wakati anatoka au sheriff. Bado wanazo kadi za ccm ndo maana wanawatetea. Jamani we have decided to take them out, no turning back, no turning back!Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
.......nimeona ni bora niendelee kumpa huyu........
kikwete aata kama ameiba...........embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......
Ndo maana nkasema kimsingi hao si wapinzani wa ccm bali matawi ya ccm, tutakuwa pamoja na wapinzani halisi ndo tutaungana nao!kama huamini nambie kama ulishawaki kusikia kuwa mrema alirudisha kadi ya ccm wakati anatoka au sheriff.
UMENIKUNA PAZURI
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini