Ha ha ha haaaa
puppy love............
Hebu jaribu kuwa na msichana mwingine
na hakikisha na yeye anajua......utaniambia.........
pole kakangu ila mimi naamini huyo mdada hakupendi!
kwani anaekupenda hata akiwa hajawa tayari kutoka na wewe kimapenzi anakuwa anakujali nakukupa moyo....unaona upendo wake waizwazi kwa matendo wala hakupi hofu hadi kufikia stage hiyo ya kuwa na wasiwasi!
jaribu kumpotezea kwa muda uone kama atastuka....akitulia jua hakupendi raha ya mapenzi mpendane sio upende wewe tu!
amini mwanamke sio yeye tu atatokea mwingine utampenda nae atakubabaikia kichizi hadi utaona utamu wa mapenzi!
ukiendelea kusubiri nahofia atakuumiza zaidi.....utasikia anaolewa au ana mimba!
........Mimi nina mashaka na upendo wa huyo msichana kwako, kipindi alivyokuwa secondary kweli mapenzi yangemchanganya na masomo.
Ila sasa hivi yupo chuo na haonyeshi dalili yoyote ya upendo kwako............mhhhhhhhhhhh!! Shtuka hapo mkaka isijekuwa ana mtu mwingine wewe anakuyeyusha tu maana ndio zetu baadhi ya wasichana.
Hivyo wewe unaweza kumjua vizuri kama kweli anakupenda ila masomo ya chuo ndio kikwazo au hata dalili ya kukupenda hana ila anakupiga tarehe tu.
tafadhali pokeeni makofi kutoka kwenye avatar yangu. hii ndio ushauri , hapo hakuna mapenzi wala babu yake mapenzi. kijana kuwa mwanaume ,songa mbele. acha kukonda wakati mwenzako anaondoka na ugali na samaki bila kujali feelings zako .Hapo ni wewe tu unapenda ye hakupendi utaumia tu cut your losses and MOVE ON!
kaka mbona unafunga mada wakati mie nilikuwa na mchango hebu ngoja niutoe hivyo hivyotafadhali pokeeni makofi kutoka kwenye avatar yangu. hii ndio ushauri , hapo hakuna mapenzi wala babu yake mapenzi. kijana kuwa mwanaume ,songa mbele. acha kukonda wakati mwenzako anaondoka na ugali na samaki bila kujali feelings zako .
:closed_2:! tunaomba mada nyengine kama ipo.
Mvumilivu hula mbivu,keep on kuvumilia,utazivuna mbivu muda si mrefu :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
Ha ha ha haaaa
puppy love............
Hebu jaribu kuwa na msichana mwingine
na hakikisha na yeye anajua......utaniambia.........
what's the relevance to the subject matterMimi mwenzenu ni mwanachuo wa chuo fulani nachukua fani ya tutabibu degree hapa Tanzania..