mtanzaniaraia
Member
- Aug 17, 2009
- 37
- 1
we kufa kiume bwana mbona unakuwa muoga
Kufa kike ni kukubali kushindwa kirahisi.Legelege yani.hivi kufa kike ndo kukuje????????
kufa kike ni kukubali kushindwa kirahisi.legelege yani.
Mimi sipendi kufa vyovyotewewe ungependa ufe kike au kiume???????
mimi sipendi kufa vyovyote
Karibu Msimbazi kwa moyo mkunjufu na kadi za uanachama unaweza pata hata leo.
Halafu sikujua binamu Masanilo ni mdau wa Yanga. Pole sana binamu ndio kupokezana vijiti uko, msimu uliopita tulikuwa sie, msimu huu nyie, ndio football
Naam hili chama langu piaNjoo Arsenal mkuu
ha ha ha bora uchague kabisa....unaweza kufa.....the lesbian/gay way..........ha ha ha ha........
Nashukuru sana kwa ushauri nasaha ulizonipatia,kwakweli pressure huwa inapanda sana ninapoona timu yangu ikifungwa tena kizembe,nitajitahidi kuachana na mambo hayo ya ushabiki nadhani nitafanikiwa.Ahsanteni sana.Ushauri wangu,acha kujipa pressure zisizo na maana okoa muda wako.Hicho kiwango ulichofika si entertainment tena ila unajitafutia maradhi.Acha ushabiki and control yourself vinginevyo utakufa bure siku si zako.Si umeshasikia watu waliokunywa sumu eti timu yao imefungwa? ndio unakuendea.Take care!