G guest-1790964445 Guest Sep 19, 2026 #1 Hivi ni nini hasa kilipelekea ww kujiunga na jukwaa hili la JF au wengi huwa wanafuta mkumbo tu baada ya kuona kwa watu ?
Hivi ni nini hasa kilipelekea ww kujiunga na jukwaa hili la JF au wengi huwa wanafuta mkumbo tu baada ya kuona kwa watu ?
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 17,782 Reaction score 33,660 Sep 19, 2026 #2 Rafiki yangu aliniambia kuna madini sana humu
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,492 Reaction score 13,225 Sep 19, 2026 #3 Humu akili nyingi alafu Uhuru wa kutoa mawazo. Kuna majukwaa humu hata ukiwa mpweke unajiona mpo kumi!!! Kuhusu usalama aaaaa liwalo na liwe mbona wakiamua kukufuatilia wanakufanya wanachotaka ila mimi napenda freedom of speech!!! 🤗🤗🤗🤗🤗
Humu akili nyingi alafu Uhuru wa kutoa mawazo. Kuna majukwaa humu hata ukiwa mpweke unajiona mpo kumi!!! Kuhusu usalama aaaaa liwalo na liwe mbona wakiamua kukufuatilia wanakufanya wanachotaka ila mimi napenda freedom of speech!!! 🤗🤗🤗🤗🤗
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,365 Reaction score 10,754 Sep 19, 2026 #4 Kuna thread kama hii tulishatoa majibu yetu.
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,648 Reaction score 3,301 Sep 19, 2026 #5 Gunner11 said: Rafiki yangu aliniambia kuna madini sana humu Click to expand... The same to me.... mkuu!
Gunner11 said: Rafiki yangu aliniambia kuna madini sana humu Click to expand... The same to me.... mkuu!
G guest-1790964445 Guest Sep 20, 2026 Thread starter #6 Husninyo said: Kuna thread kama hii tulishatoa majibu yetu. Click to expand... Kuna wengi ni member wapya na hawajauona huo uzi kiongozi
Husninyo said: Kuna thread kama hii tulishatoa majibu yetu. Click to expand... Kuna wengi ni member wapya na hawajauona huo uzi kiongozi
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 7,664 Reaction score 5,581 Sep 20, 2026 #7 Kila taarifa nliokuwa Natafuta google ilikuwa inanipeleka Jamii forum ikabidi nidawload app kabisa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,430 Reaction score 197,931 Sep 20, 2026 #8 Jukwaa la wakubwa... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,609 Reaction score 185,798 Sep 20, 2026 #9 Smart911 said: Jukwaa la wakubwa... Cc: Mahondaw Click to expand... Aiseeehh!!!!!
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 7,025 Reaction score 12,749 Sep 20, 2026 #10 Sikumbuki
Benoit JF-Expert Member Joined Jun 1, 2026 Posts 760 Reaction score 1,703 Sep 20, 2026 #11 POSITIVE ENERGY said: Kuna wengi ni member wapya na hawajauona huo uzi kiongozi Click to expand... Hakuna member mpya jf, Wamejivua magamba tu
POSITIVE ENERGY said: Kuna wengi ni member wapya na hawajauona huo uzi kiongozi Click to expand... Hakuna member mpya jf, Wamejivua magamba tu