007/Mrs.bond
Member
- May 6, 2009
- 19
- 3
Kwa kweli huyo dada roho ilimuuma karibia ajinyonge
Jiulize maswali kadhaa:
Je kujiua kutatoa solution gani katika maisha yangu?
Ni lazima kuishi na huyu mwanaume?
Solution ni tafuta maisha yako mwenyewe dada. People will always disappoint u!
Wanawake mnataka haki sawa. kujitafutia maisha yako binafsi ni moja ya haki sawa mtakazo.
Huyo mwanaume amesha onja mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeee.
Kama vp nae ampe au amuonjeshe aone kama atabadilika au lah.
Huyo mwanaume amesha onja mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeee.
Kama vp nae ampe au amuonjeshe aone kama atabadilika au lah.
Binafsi kulazimishana kujifunza lugha za kikoloni ni zaidi ya utumwa.
Kama ni utumwa, basi arudi nyumbani alikojua kiswahili bila kufundishwa!
Za leo wandugu wapendwa,
Je tunaweza kumsaadia vipi huyu bibie katika swala hili maana yaelekea mume ameshamuona mzigo sasa, ambayo imempelekea hata tendo la ndoa kuwa gumu kwake. Asanteni.