Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,161
- 168,996
hahahaha yaani mie nilivyoona heading nikajua umeathirika na haya maradhi yetu
hehehehe kuendelea kusoma kumbe ni kale ka ugonjwa ka wote
hahahaha yaani mie nilivyoona heading nikajua umeathirika na haya maradhi yetu
hehehehe kuendelea kusoma kumbe ni kale ka ugonjwa ka wote
..Mkuu haka kaugonjwa nadhani bora yako wewe...Mimi nikiwa kazini ndio kabisaaaa Jf mpaka basi, nikiwa nyumbani ndio yale yale week end busy kwenye blackberry....! sijui kama kuna dawa hapa! maana akili haikubali eti siku ipite sijachungulia jf.Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
Mh, mimi nimewaambukiza hata jamaa wawili hapa ofisini!
😉FirstLady1, unayo dawa umsaidie huyo?
Poleni kwa kuathirika, mi waaala!