Nilivyo ibiwa kimaajabu

Wizi wa kupambaza sio mara moja kuusikia. Kuna dada wakala wa pesa alikombwa akiba yote aliyokuwa anaenda ku deposit bank.

Pole sana chief. Siwezi kusema wewe ni mjinga kwa kuibiwa maana inaweza mkuta yeyote yule.

Hii Elimu ya Kiafrika sijui kwann hatuitumii vizur.

Hio Sayansi ingeenda Maabara. Tungekuwa juu
 
Nimesoma yote. Aisee pole sana mkuu. Dah nimeshtuka hapo mwisho kumbe jamaa hakuwepo hata duniani. Pole sana kapumzike bi mkubwa atakupa faraja. Ukishatulia utaanza upya mapambano. You will rise again.
 
Unataka mtu kama mimi niamini hii simulizi ya alfu lela ulela?
 
Du pole sana mkuu hawa walitumia vitu vibaya sana
 
Kwenye shida na walevi wanakumbuka kuita yechu yechu 😂😂
 
Mkuu Setfree zungumza jambo bibiye
 
Mkuu,hapo umejifunza kitu,msomi mwenye degree hawezi kutapeliwa kipumbavu hivyo.

Wewe ni mweupe sana kichwani. Kwanza kitendo cha kumaliza chuo usirudi home ni upumbavu.

Pili,kazi gani ambayo inahtaji 7m ili uipate?

Tatu, kapambane nyumbani kwani yaliyopita si ndwere ganga yajayo.
Usirudi kabisa jijini labda utakapopata ajira rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…