chadema wanafuata nyayo za kafu kwa makini sana... mlimwaga damu enzi za mkapa, basi ndio zoezi linaloendelea.... mlishakua chama kikuu cha upinzani, chadema tayari, basi taratiibu watapita mliyofanya kwani wao si wasaliti wala maamumaIkiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Mbona hoja yako haielewki..ni kama umetoka usingizini tu ukakurupuka na kuandika chochote kijacho akilini mwako!..ndo unasoma somo la Uraia darasa gani kwa sasa?!
Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.
Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.
sure Mwiba is garbage full

Watu wachache wanapotoka na kutoa kauli zao, si tamko la Chama, ninavyofatilia mpaka sasa matamko yaliyotolewa na Chama hayajabadilika (labda kama unahusisha matamko kama ya Zitto Kabwe kujipendekeza kwa mkuu wa kaya aliye rafiki yake, ndo tamko la Chama unakosea)..pamoja na hayo kama kuna kutofautiana ndani ya Chama,ndio ukomavu kidemokrasia..otherwise, mimi nawaona bado wako imara..going through what they are experiencing now will mark their stability as a party!
Mwiba, If you can't beat join 'em, i can figureout the time and effort you are wasting against CDM am very sorry, some people(CCM prominent figures) are joining the fight, who are you,Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!