Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe?
Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi?
Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima?
Ni haki na ni wajibu wajitunze, wasifanye ngono mpaka watakapoolewa kwani tendo hilo lina heshima yake na miiko inayolizunguka. Mwenyezi Mungu alitaka lifanywe na watu wa ndoa TU.Ndiyo kwa heshima linaitwa Tendo la Ndoa. Likifanywa nje ya ndoa linapata majina mengine kuonesha kwamba si mahali pake. Ndo mana utasikia: uzinzi, uzinifu, uasherati, nk.Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe? Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi? Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima? Naomba warasimu wanijibu.
Ni haki kwa wasichana wasifanye ngono mpaka waolewe? Ndoa ngapi zinafungwa siku hizi? Je kuna uhakika kila msichana atapata wa kumuoa kabla hajafikia utu uzima? Naomba warasimu wanijibu.
Uzinifu tu, hakuna starehe wala nini.siku hizi mambo imebadilika kwani ngono sio mpaka uolewe bali ni starehe pia.
2009 wanaume walikua wachache je saivi si hawapo kabisaNi wanaume wachache sana wako tayari kuoa siku hizi..kwani kupata mwanamke imekuwa rahisi mno!!
kwahiyo ni kawaida kudinyana kabla ya ndoa?Aghalabu si rahisi sana kupata bikra kwa wote wawili (mvulana na msichana). Tujaribu kuwa wakweli! ni nani hadi sasa kwa umri wa miaka 18 ambaye bado hajafanya ngono?
Achilia mbali siku hizi watoto wadogo kabisa wanajua ngono ni nini na inafanywaje.
Kimsingi ingependeza sana kama wote tungevumilia hadi kuoa/kuolewa, lakini pia si rahisi kijana wa sasa anunue mbuzi kwenye gunia. Hivi kweli wewe utakubali uolewe (kwa akina dada) na mtu ambaye hujui mziki wake ukoje? Kama jogoo hapandi mtungi si kesho yake tu mnaachana? Hali kadhalika kwa waoaji kweli utaletewa tu mamaa ndo huyu mara unaingia ndani kuna katundu ka mkojo tu kale ka shughuli hakapo!
Wengi walikuwa wanafanya hivyo zamani lakini si sasa, na kama wapo basi kuna sababu nzito sana zinawafanya wasifanye hivyo.
Mojawapo ya uhamasishaji wa kuolewa ni ngono kwa upendaye. Na manjonjo kama alivyowahi kusema kwenye thread moja MJ1,,,Wanawake wanaolia,,,,,,,,,,,,,,,,.