Ngono mbaya!

Hivi nyie mnawezaje kukaa bila kuichapa? Mbona mi siwezi.
 
Wewe huna tofauti na padre/askofu/sister wa Roman Catholic anayetaka kuelezea na kushauri kuhusu midinyano,mapenzi na ndoa katika minajiri ya umuhumu/hasara zake Wakati hajawahi onja.pumbavu zako😬
 
Na wana miili mizuri, unakuta sister ana miaka 40 chuchu saa 6... wanajitunza.. wao ni kazi na sala..
Hawa wana uzuri wa asili,ngozi laiin,na wengi nyuma wamejaaliwa.siku Moja tulikwenda hospitali Fulani Mimi na rafiki yangu.akatokea huyo kiumbe.Wote tuliokuwa pale tulipigwa na butwaa kuanzia wagonjwa,watumishi na wauguzi..wake kwa waume
Rafiki yangu akajikuta amepayuka kwa sauti "Nabadili dini" watu wakamshangaa,akili zilipomrudia akaanza kujishtukia,Akala Kona.
Yule sista kaumbika
 
Ngono imeumbwa na Mungu huo utakatifu unaousema hutaki uuharibu umetoka wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…