Ni kweli ngono haifai.Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu. Na sitaki niharibu utakatifu niliyonayo na tamaa ya ngono.narudia kusema ngono mbaya na n balaa katika maisha ya mwanadamu.
Wewe ulipatikanajeMimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu. Na sitaki niharibu utakatifu niliyonayo na tamaa ya ngono.narudia kusema ngono mbaya na n balaa katika maisha ya mwanadamu.
Utakafu ni nini? Ni utakatifu gani ulionao?Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu. Na sitaki niharibu utakatifu niliyonayo na tamaa ya ngono.narudia kusema ngono mbaya na n balaa katika maisha ya mwanadamu.
Hakika king kong unakumbuka kipind kile kina yule jamaa anaefanana na hard mad na cashmere, capri styles walitaka kutuharibu akil zetuππNi kweli ngono haifai.
Na huyu MandingoHakika king kong unakumbuka kipind kile kina yule jamaa anaefanana na hard mad na cashmere, capri styles walitaka kutuharibu akil zetuππ
Kwamba ukitongozwa na mwanaume unakubali? π€π€Mm me sio wa kike na mwanaume hawezi tongzwa na wadada hata siku moja
hahahah dahWewe ni Me au Ke ?
Huyu dogo ni bwabwaKwamba ukitongozwa na mwanaume unakubali? π€π€
Labda jamaa anachangamsha genge tu!Huyu dogo ni bwabwa
Mwanaume Gani anajisifia kuwa bikra.
Labda anaona bikra yake ya backwards amekaa nayo muda mrefu Sasa anataka wahuni waitoe