BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,495
- 4,085
JOHANNESBURG, South Africa (CNN) -- Former South African president Nelson Mandela is celebrating his 91st birthday Saturday -- as his wife reveals he is struggling to deal with the indignities of aging.
Sorry..not breaking news!..nimeshindwa kuitoa
Mnisamehe kwa kuwakwazaa! My bad
ha ha ha,Itakuwa ngumu sana kwa Fidel kufikisha umri huo,labda ache totoz.Angekuwa Fidel180, ingekuwa sasa ni kumwaga lazi.
Whatt.....????Sorry..not breaking news!..Niliclick bila kucheki na nimeshindwa kuitoa
Mnisamehe kwa kuwakwaza! My bad
Sasa wewe hii inakuwaje breaking news? tarehe kama ya leo mwaka ujao kama akiwa hai inajulikana atakuwa na miaka 92, nayo ni breaking news? tafakarini vyema kabla ya kutujazia thread.